Ha ha ha ngoja embu fanya tafiti mademu wa hapa bongo wanaeza kuwa na wanaume wangapi kwa kipindi cha miaka 4, utachoka na utakuja kugundua zari anajitunza mda wote kwenye relationship anahisiwa tuu kutoka na wanaume wawili seriously?hesabu kwa diamond sasa
Kwanza hear say zinasema dadaa alipenda mpaka alikubali kurukwa ukuta.Diamond kachoka kuvumilia, alimheshimu na akakaa kimya lakini watu huwa wepesi sana kusahau, hakuna siku Zari anaposti bila kumpiga dongo Diamond, hata hiyo ya juzi akimposti bwana ake mpya bado alimdis Diamond, kamchokoza mwenyewe na akiendelea ndo atamwacha uchi kabisa mswahili si wa kuchezea.
Ni ujinga Diamond kashakuwa mkubwa Sana Tanzania hii kutegemea Kiki za hivi hata wakina Mbosso wanatoa kazi Bila Kiki na wanahit
Diamond kwa Sasa Kiki zake zilipaswa Kama wenzio wakina Wizikid na Davido kupandishwa stegini na Drake , kuperform matamasha makubwa Kama summer jam au Cocheala
Sasa msanii namba 1 Tanzania anategemea Kiki za kina Zari na Hamisa ili kazi iende seriously? Sasa wakina lavalava wafanyaje?
Hii ni 2019 aiseee
Kaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
Wanawake wachepukaji utawajua tu mnateteanaYaan yule mwakitombile hana haya kabisa liongo liongo.
Diamond muongo sana. Story yake imepinda pinda anajikanyaga mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] birthday ya zari ya last year alijikakamua na essay. Utamuandikia mwanamke aliye kucheat vile. Hapati kiki na watu wengine zari ni kiki. Tena alivyo na roho mbaya kasubiri zari atangaze mahusiano yake ndio aje aongee mashudu ili kubust redio yake.Diamond ameshindwa kupata mwanamke mwenyekiti Kiki Kama Zari au Wema ndo maaana sasahivi anastruggle mbaya zaidi inaonekana Zari ameamua kumove on na maisha nadhani Diamond alitegemea kitu Cha tofauti za Zari alivyoreact.
Diamond anategemea skendo kuiendesha maisha ya muziki na biashara zake. Na mwanamke alienae Sasa Hana nguvu hiyo
Haiwezekani mtu aliekucheat ukasema utaenda kumuomba msamaha hata kwa magoti, how? Kwenye interview unasema Zari alikupenda kuliko wewe ulivyompenda mbele Tena kidogo unasema ulimtuma Babu Tale South Africa muyamalize na Zari ila lazima Zari akubali aje kuishi Tanzania, yaani mtu humpendi unaenda kumuomba ahame South aje muishi Tanzania wote, how?
Umesema ulimuomba Zari watoto wake Tanzania hapo hapo unasema ujaongea nao tangu October mwaka Jana. Maana yake hapo hakuna connection na affection Kati yako na wototo hapo watoto watakuona Kama stranger tu. Hapo huwezi jua mtoto anapenda Nini, akiumwa anaonyesha sign gani, anapenda chakula gani
Hakuna mwanamke atakukabidhi watoto katika mazingira hayo.
Ofkozi simba alikuwaga analizibua mtaloAmeshaanza kuchuja anatafuta pa kufia na ndo maana anasafiria nyota ya wenzake kwenye kuimba.
Ni bora angeendelea kunyamaza tu maana kwa mtu kama yeye ambaye bado anaushamba wa kutaka kuchungulia *?:$ wa kila msichana anayemchekea ningeshangaa kama huyu binti naye asingefanya hivyo. Tofauti yao ni kwamba bibie hakuokoteza kama anavyofanya yeye.Amesema Diamond kwenye kipindi cha Block 89 wasafi Fm.View attachment 1079519View attachment 1079521View attachment 1079522
😝😝😝😝Mkuu kweli wewe ni mmbea yaani mara hii umeshaenda had I kwenye akaunti ya zari?
Ahsante mkuu Zero IQ kwa kunikumbushaNyimbo inaitwa Moyo fid Q ft Christian bella,.
ID yako mwenyewe umeshindwa kuiandika halafu unamuita Mond,mshamba teh teh BTW hivi manapata wapi ujasiri wa kumtetea Zari? yule ni malaya+ mtu ambaye ana hadi video za ngono usafi utautoa wapi? she is a bonafide bitchNi bora angeendelea kunyamaza tu maana kwa mtu kama yeye ambaye bado anaushamba wa kutaka kuchungulia *?:$ wa kila msichana anayemchekea ningeshangaa kama huyu binti naye asingefanya hivyo. Tofauti yao ni kwamba bibie hakuokoteza kama anavyofanya yeye.
Ukweli ni kwamba akina sisi, mara nyingine huwa chanzo cha wenza wetu kuchepuka.
'What goes around always comes around'
Achuje mara ngapiAmeshaanza kuchuja anatafuta pa kufia na ndo maana anasafiria nyota ya wenzake kwenye kuimba.
Mwanamke akichepuka mwamwita malaya ila mwanamume akiwa anachepuka mnamwita kidume.ID yako mwenyewe umeshindwa kuiandika halafu unamuita Mond,mshamba teh teh BTW hivi manapata wapi ujasiri wa kumtetea Zari? yule ni malaya+ mtu ambaye ana hadi video za ngono usafi utautoa wapi? she is a bonafide bitch
Amechuja halaf usiku mzima mnamuongelea yeye tu kwenye mitandao yote....nyie watu akili zetu zimekaa wapi?Achuje mara ngapi
Ni bora angeendelea kunyamaza tu maana kwa mtu kama yeye ambaye bado anaushamba wa kutaka kuchungulia *?:$ wa kila msichana anayemchekea ningeshangaa kama huyu binti naye asingefanya hivyo. Tofauti yao ni kwamba bibie hakuokoteza kama anavyofanya yeye.
Ukweli ni kwamba akina sisi, mara nyingine huwa chanzo cha wenza wetu kuchepuka.
'What goes around always comes around'
Huo usiku mzima umeniona? Wewe akili yako imekaa wapi kwanza tuanze na weweAmechuja halaf usiku mzima mnamuongelea yeye tu kwenye mitandao yote....nyie watu akili zetu zimekaa wapi?
Inategemea na mwanaume gani kafunguka.Tunasikia mengi sana watu wanapoachana ila asilimia kubwa kutoka kwa mwanamke. This time kwa kuwa ni mwanaume kasema na wanajuana na kina P Square kutakuwa na ukweli hapa.
Mwanaume kufunguka issue za kifamilia sio rahisi ila anapoamua kusema basi kutakuwa na ukweli hapo.