Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama namuona pugi anataka kwenda kuiba psquare na trainer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lowlife bana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nakuona.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yaani nacheka balaa!!
It was ju the matter of time haya kutokea halafu diamond kajikaza mbona!!

Tena kachelewa balaa...kama naona team tukinao wanavyomponda Hamisa leo...!!km ye ndo alimtuma Zee la kiganda kulala na Peter au trainer

Ahsante daimond!!umeninyooshea mtuu!!!
 
Pesa huwa zinaonyesha tabia za mtu zilizokua zimefichwa na umasikini.
Hapo hela sio zake zingekua zake yule andunje mbona watu wangekoma.
Petit man mwenyewe alimtongoza sababu nj mdogo wa ndugu wa Diamond wala sio kwamba alimpenda kiviiiile
Petit alisema uswahili aliokutana nao pale ulikuwa mwisho
 
Ni maamuzi anayoamua bila kufikiria tofauti iliyopo kati ya yeye na wenzie..
Ifike mda sasa atambye hiyo tofauti..
Mama miaka 40 na watoto 5 unabehave na kuenenda kama binti wa miaka 20 aside na mtoto..
Beauty without brain what suffers the most is private parts
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maskin anawatoa roho watu
 
Kwani zari yeye malaika,mbna hata mondi alimpata akitoka dar kudanga kwa muzamil.wote wamekutana pipa na mfuniko
 
Kumbe dar sio kwenye ndege tena aiseee

Hivi lini diamond atamtimua Zari kwenye ile nyumba yetu sauz?
Kwani zari yeye malaika,mbna hata mondi alimpata akitoka dar kudanga kwa muzamil.wote wamekutana pipa na mfuniko
 
Story ni kwenye ndege wakitoka wote dar,zari kwa age yke angekaa kimya tungemuona chibu mwongo.
Ila kumjibu ni kupanic
Kumbe dar sio kwenye ndege tena aiseee

Hivi lini diamond atamtimua Zari kwenye ile nyumba yetu sauz?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]kabisaa....minions watamtetea tu!!
Beauty without brain what suffers the most is private parts
Zari nae ndo wale wale atulie tu bwanaa...[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]leo nacheka mnoooo
 
Exactly leo mapoint tuu!!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Akina vera wale wameshindikana hawana cha kupoteza maana hawana watoto na sidhani kama wana mpango huo. Ila sasa huyu mama ndio simuelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…