Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Mkuu umeongea ukweli kabsa na nmeona hata Diamond kalisema !!Ukizaa na mwanamke mkaachana,anatumia mtoto kukuadhibu Mimi pia ni muhanga.Kwa bahati mbaya katika swala LA malezi ya Mtoto always wanaume tunaonekana wenye makosa,ni sawa na beki tatu ashitaki polisi kwamba hujamlipa mshahara hata kama ulimlipa Jana yake hakuna atakaye kuamini...
Niliwahi kubishana na wadau kwenye Whats app group kuhusu hii ishu tena ya yeye Diamond kuhusu baba yake!! Mkuu nilisema kwamba hapa tusionekane kumuona baba yake na Diamond mbaya kisa tunasikia upande mmoja na ndio huo unakuwa wenye nguvu bali nikasema kwamba ukwel anaujua mama na baba Diamomd tu .Hivyo nilisema kwamba mama yake na Diamond huenda alichangia sana kummezesha sumu mtoto ili baba aonekane mbaya na mungu n mkubwa Leo Diamond huyo hyo kaliona !!! Wazungu wanasema " what goes around comes around " hata mwaka haujaisha Diamond kakubali maneno yangu kwamba mkiachana hasa sisi wanaume tunaonekana wbaya kwa watoto wetu na watoto wajinga wakiwa wakubwa nao wanakubali huo ujinga nau ita ujinga maana hawaelew wafanyalo!!
Leo watoto wake diamond wanazuiwa asiongee nao licha ya kwamba anatoa matumizi je kwann ss tunamlaum baba wa diamond kwamba hawaajibika??? Nan mwenye kuthibitisha ?? Je s kama hili tu la Zari??? Unategemea hawa watoto wakija kuwa wajinga si watafanya ujinga wa kumtenga baba ???
Namshauri Diamond ajifunze ,yule mzee alovyokuwa analalamika niliumia nkasema huenda mtoto anafanya kwa kutojua ila leo nadhani ameelewa !!! Wamama zetu hawa nao s wakuaminika hasa ss wazaz wa kiume tuweni macho sana kwa hili