Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Ukizaa na mwanamke mkaachana,anatumia mtoto kukuadhibu Mimi pia ni muhanga.Kwa bahati mbaya katika swala LA malezi ya Mtoto always wanaume tunaonekana wenye makosa,ni sawa na beki tatu ashitaki polisi kwamba hujamlipa mshahara hata kama ulimlipa Jana yake hakuna atakaye kuamini...
Mkuu umeongea ukweli kabsa na nmeona hata Diamond kalisema !!

Niliwahi kubishana na wadau kwenye Whats app group kuhusu hii ishu tena ya yeye Diamond kuhusu baba yake!! Mkuu nilisema kwamba hapa tusionekane kumuona baba yake na Diamond mbaya kisa tunasikia upande mmoja na ndio huo unakuwa wenye nguvu bali nikasema kwamba ukwel anaujua mama na baba Diamomd tu .Hivyo nilisema kwamba mama yake na Diamond huenda alichangia sana kummezesha sumu mtoto ili baba aonekane mbaya na mungu n mkubwa Leo Diamond huyo hyo kaliona !!! Wazungu wanasema " what goes around comes around " hata mwaka haujaisha Diamond kakubali maneno yangu kwamba mkiachana hasa sisi wanaume tunaonekana wbaya kwa watoto wetu na watoto wajinga wakiwa wakubwa nao wanakubali huo ujinga nau ita ujinga maana hawaelew wafanyalo!!

Leo watoto wake diamond wanazuiwa asiongee nao licha ya kwamba anatoa matumizi je kwann ss tunamlaum baba wa diamond kwamba hawaajibika??? Nan mwenye kuthibitisha ?? Je s kama hili tu la Zari??? Unategemea hawa watoto wakija kuwa wajinga si watafanya ujinga wa kumtenga baba ???

Namshauri Diamond ajifunze ,yule mzee alovyokuwa analalamika niliumia nkasema huenda mtoto anafanya kwa kutojua ila leo nadhani ameelewa !!! Wamama zetu hawa nao s wakuaminika hasa ss wazaz wa kiume tuweni macho sana kwa hili
 
Mbona himisa hakumfanyia vimbwanga alimchana live Kama hamtaki Tena kwenye Tv
Hata hivo hamisa si chaguo lake ndo maana anamtumia halafu akimaliza haja zake anamzingua
 
Hate ni mbaya sana, Farid kubanda aliimba Hakika chuki humchoma anaeihifadhi nyimbo inaitwa sihitaji marafiki
Wimbo unaitwa roho km sikosei kamshirikisha Christian bella katika sihitaji marafiki hakuna mstari km huo mkuu.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
daah wadangaji mpo juu

[emoji23][emoji23][emoji23] wanaumia roho kwa maisha ya mtu mwingine
 
Mkuu umeongea ukweli kabsa na nmeona hata Diamond kalisema !!

Niliwahi kubishana na wadau kwenye Whats app group kuhusu hii ishu tena ya yeye Diamond kuhusu baba yake!! Mkuu nilisema kwamba hapa tusionekane kumuona baba yake na Diamond mbaya kisa tunasikia upande mmoja na ndio huo unakuwa wenye nguvu bali nikasema kwamba ukwel anaujua mama na baba Diamomd tu .Hivyo nilisema kwamba mama yake na Diamond huenda alichangia sana kummezesha sumu mtoto ili baba aonekane mbaya na mungu n mkubwa Leo Diamond huyo hyo kaliona !!! Wazungu wanasema " what goes around comes around " hata mwaka haujaisha Diamond kakubali maneno yangu kwamba mkiachana hasa sisi wanaume tunaonekana wbaya kwa watoto wetu na watoto wajinga wakiwa wakubwa nao wanakubali huo ujinga nau ita ujinga maana hawaelew wafanyalo!!

Leo watoto wake diamond wanazuiwa asiongee nao licha ya kwamba anatoa matumizi je kwann ss tunamlaum baba wa diamond kwamba hawaajibika??? Nan mwenye kuthibitisha ?? Je s kama hili tu la Zari??? Unategemea hawa watoto wakija kuwa wajinga si watafanya ujinga wa kumtenga baba ???

Namshauri Diamond ajifunze ,yule mzee alovyokuwa analalamika niliumia nkasema huenda mtoto anafanya kwa kutojua ila leo nadhani ameelewa !!! Wamama zetu hawa nao s wakuaminika hasa ss wazaz wa kiume tuweni macho sana kwa hili
Kama hayajakukuta huwezi kulielezea vizuri hili... Em passing through this...Nina mwwezi wa tano sasa nikipiga simu haipojekewi wala msg hazijibiwi nukikumbuka nilivyohangaika na huyu Mtoto tangu mimva mpaka anazaliwa uwa namwachia mungu tu!!
 
Sasa umezaa nae na umemuacha Nini kinachokuumiza? Tena ulikuwa humpendi

Utoto tuu ukiumizwa,unajitahidi kumuonyesha mwenzio hujaumia 😂😂😂tena unajitahidi saaana kumuonyesha she/he is worthless..hafai hata kwa kachumbari...lol..get over it Diamond una mchumba huu sio muda wa kuongea ishu za Zari,jinsi unavyoendelea kumuongelea ndio inaonyesha jinsi alivyo kichwani mwako, unamsema ana cheat,wewe mpk nyumbani kwako kukaitwa Madale Guest house???!!!!??
 
Boss kwani ukiamini unachoamini abpur zarina si poa tu au ??
Depend on how much u knw her so i respect either way kama unafeel ana hela au hana ni choice yake sidhan kama tunapaswa kuendelea kubishana kwenyw hili
Pesa gani unayoongelea ww?ye hana hela ila anaitafuta vizuri tu kwa kuwatengeneza hawa ma baby dady wasioenda shule.
Ww je?
Mkishamiliki vi toyota mnaona mmemaliza life.
 
Back
Top Bottom