Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Zari ni mdangaji km wengine tu daimond tunamuamini pia km yeye aliweza kumuamini ,sisi ni nani tusimuamini?

Halafu na yeye kumbe alikua sidechick wa Peter ?hahaaaaaaaaaaa

Jamani kaaahh!
 
Itakuwa anaumia sana, ila wanaume waseme ukweli wakiachana na mtu hupenda yule mtu asipate
mwingine na akipatikana mwingine huumia sana huwa wanajikaza tu, utasikia malaya tu yule unamuuliza
ulipokuwa naye hakuwa malaya kaka?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kama domo
Domo apange siku ya kuonyesha docs tufanye sherehr kumsifia.. kwamba anaona Kingbae anaingia anatanua.. na yeye kakaa kama boga tu. Anyanyuke akamtimue haraka, eeeeeeh domo akatubu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What goes around, comes around jamaa anatakiwa astuke huenda alichofanyiwa babake ndicho anachofanyiwa leo yeye mwisho watoto wataambia baba aliwakataa na watamtenga kama anavyomtenga babake
 
Itakuwa anaumia sana, ila wanaume waseme ukweli wakiachana na mtu hupenda yule mtu asipate
mwingine na akipatikana mwingine huumia sana huwa wanajikaza tu, utasikia malaya tu yule unamuuliza
ulipokuwa naye hakuwa malaya kaka?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemeana na mtu na mtu kuna mwingine akipata mwingine wanaume tunapata amani
 
57012695_2311943385754475_5973174788986963573_n.jpg
 
Back
Top Bottom