Duu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo wote ni majuha looooZari kashasema wanaomuamini domo nao ni stupid kama alivyo.
ulitaka ukazikute wapi sasa? ilihali hapa ni Celebrity forum....stupidSikutegemea habari za udaku nizikute JF
Duu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo wote ni majuha loooo
Sent using Jamii Forums mobile app
We unamjua au kiherehere tuNawe rusha picha upo nae basi .. si unamjua. Acheni wivu
Unaangaika sana Mkuu hivi hata chai umeshakunywa kweli
Kwa kweli. Hamna namna. [emoji23][emoji23]
Kama domo
Domo apange siku ya kuonyesha docs tufanye sherehr kumsifia.. kwamba anaona Kingbae anaingia anatanua.. na yeye kakaa kama boga tu. Anyanyuke akamtimue haraka, eeeeeeh domo akatubu tu.
Inategemeana na mtu na mtu kuna mwingine akipata mwingine wanaume tunapata amaniItakuwa anaumia sana, ila wanaume waseme ukweli wakiachana na mtu hupenda yule mtu asipate
mwingine na akipatikana mwingine huumia sana huwa wanajikaza tu, utasikia malaya tu yule unamuuliza
ulipokuwa naye hakuwa malaya kaka?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana mdogo umekosea sana Sana. Usingeyasema hayoAmesema Diamond kwenye kipindi cha Block 89 wasafi Fm.View attachment 1079519View attachment 1079521View attachment 1079522
Wameshupaa mdangaji mdangaji,mara malaya hivi kuna mdangaji asie malaya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmm mfano hao waliotuweka sahizi hapa kwenye keyboard, walikuwa bado wapo kwenye heat lazima aumieInategemeana na mtu na mtu kuna mwingine akipata mwingine wanaume tunapata amani
Kama ana danga mpaka ananunuliwa magari ni rahisi wakadange na wao[emoji1476]
Hiyo avatar yako[emoji1544]
Ndio Sababu ya chibu Kutoka na yeyeKaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
Kwani wewe ni mwalimu wa TSJ? kazi yako kusahihisha wezakombona hueleweki ulichoandika? usipanic sana mama,mapenzi yalikua yao wenyewe
Ndio Sababu ya chibu Kutoka na yeye
Sasa hapo ndo amekanusha kuwa alichepuka au lugha kwako tatizo?