Kama ana danga mpaka ananunuliwa magari ni rahisi wakadange na wao[emoji1476]
Wenyewe anaishia kununuliwa mawingi kariakoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana mwenzangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kudanga hadi kuhongwa magari na majumba nacho ni kipaji kwa kweli.
Magumu mnoooo...! Aaah nimekosea. “MAGUMU MNOOOOOOOOOOMapenzi magumu sana aisee
Magumu mnoooo...! Aaah nimekosea. “MAGUMU MNOOOOOOOOOO
Natuma dola buku 2 kila mwezi hlf account sina. Kweli anayemuamini huyu kaka ana akili kama zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mchawi katika ubora wako, wew ndo unaujua ukwel kuliko mond !! bila kupepesa macho wewe n mke wa alikiba,!!!!!Kaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
Natuma dola buku 2 kila mwezi hlf account sina. Kweli anayemuamini huyu kaka ana akili kama zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine wanasema ni boss fake anakodi magari. Hayo magari wanakodisha bure [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kudanga hadi kuhongwa magari na majumba nacho ni kipaji kwa kweli.
Waganda wanavuta mashavu ya naniiii weee ni hatari. Kila siku lazima wafanye na wewe huko DAR. Kwa nini Peter asifanyeJanamke kama lile kukaa mbalimbali nae hata wiki tu bila kumegwa na wengine mkatambike. Hilo moja. Pili kuwa tu kwenye mahusiano au kumuoa Zari ni kujitakia pressure kuuubwa. Ukimuoa kama yule kubali tu lazima tu utamegewa. Nimalize tu kwa kusema mke yoyote atakaemuoa Diamond lazima amegwe na masela wengine. Watamwinda balaa wampige ukuni,kssb tu ya ufemas wake
Unamuamini Kama alivyosema mtoto wa Hamisa mobetto sio wake pale Clouds fm?Zari ni mdangaji km wengine tu daimond tunamuamini pia km yeye aliweza kumuamini ,sisi ni nani tusimuamini?
Halafu na yeye kumbe alikua sidechick wa Peter ?hahaaaaaaaaaaa
Jamani kaaahh!
Hiyo kawaida mkuu demu wa mwenzako huwa mzuri ila ukishakuwa nae unona kawaidaMmh Mondy angetulia kama ingekuwa hivyo
Wanaume wengi wanapenda wakimuacha mwanamke apate mwanaume wa Hali ya chini zaidi yake wengi huona wao ndo kiwango chako Cha juu Cha ubora Sasa akitokea mwanamke kapata jamaa Yuko vizuri zaidi yake lazima ajione mdhaifu ndo hapo anapata hasira.Itakuwa anaumia sana, ila wanaume waseme ukweli wakiachana na mtu hupenda yule mtu asipate
mwingine na akipatikana mwingine huumia sana huwa wanajikaza tu, utasikia malaya tu yule unamuuliza
ulipokuwa naye hakuwa malaya kaka?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaosoma komenti tukutane hapa tujuane
Kelele za chura [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndivyo walivyo, kama aligundua yeye kwanza kwanini asingesimama kama mwanaume iweje sasa !Wanaume wengi wanapenda wakimuacha mwanamke apate mwanaume wa Hali ya chini zaidi yake wengi huona wao ndo kiwango chako Cha juu Cha ubora Sasa akitokea mwanamke kapata jamaa Yuko vizuri zaidi yake lazima ajione mdhaifu ndo hapo anapata hasira.
We angalia wanaume wote ukimuacha then akapata jamaa yupo juu yake lazima aanze kuponda na kusema yeye ndo aliamua kumuacha
Zari angekuwa amekipa kijamaa hakieleweki hakina kipato Diamond asingejisumbua kabisa kujua habari zakeMmmm mfano hao waliotuweka sahizi hapa kwenye keyboard, walikuwa bado wapo kwenye heat lazima aumie
Sent using Jamii Forums mobile app
Zari angekuwa amekipa kijamaa hakieleweki hakina kipato Diamond asingejisumbua kabisa kujua habari zake
Ni kama vile unaona Wema Sepetu anavyoangaika na watunwasioeleweka Diamond Hana time nae Tena Hana thamani kwake Sasa ingekuwa Wema kapata jamaa classic anauwezo wake vizuri. Na Wema anaishi maisha Mazuri ungeona anavyolia Lia
Kama Kipindi kile Wema yupo na jamaa wa ikulu Clement pesa ipo Diamond alikuwa Kila siku Wema Sepetu mdomoni kwake
Watu wanapiga kelele wakati ndio kwanza Mondi kazaa na wanawake watatu,Bob marley pamoja na IQ yake kubwa lakini alishindwa kukicontrol kichwa cha chini kazaa na wanawake saba watoto kumi na moja.We upo south mwenzako yupo TZ alafu mtu mwenyewe zipu mbovu unamlia yamini hataokucheat.Hapa tunaongea tu LAKINI KAMA MWANAUME KAMA WEWE UNGEKUWA DIAMOND ,NINAUHAKIKA UNGEWAFYATUA TU.Duuh Robert Marley Naye katisha sana