Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Amesema Diamond kwenye kipindi cha Block 89 wasafi Fm.
2019-04-23_22.37.18.jpg
Screenshot_20190423-224143.png
Screenshot_20190423-224233.png
 
Tunasikia mengi sana watu wanapoachana ila asilimia kubwa kutoka kwa mwanamke. This time kwa kuwa ni mwanaume kasema na wanajuana na kina P Square kutakuwa na ukweli hapa.

Mwanaume kufunguka issue za kifamilia sio rahisi ila anapoamua kusema basi kutakuwa na ukweli hapo.
 
Diamond ana kifua sana aisee,kaishi kwa machungu muda wote huo kumbe alikua anamegewa hahahah
 
Kama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikutana Madale au Tandale alipowakutanisha??

Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.
 
Kama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikitania Madale au Tandale alipowakutanisha??

Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.
mbona hueleweki ulichoandika? usipanic sana mama,mapenzi yalikua yao wenyewe
 
Ukizaa na mwanamke mkaachana,anatumia mtoto kukuadhibu Mimi pia ni muhanga.Kwa bahati mbaya katika swala LA malezi ya Mtoto always wanaume tunaonekana wenye makosa,ni sawa na beki tatu ashitaki polisi kwamba hujamlipa mshahara hata kama ulimlipa Jana yake hakuna atakaye kuamini...
 
Back
Top Bottom