Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Hivi wewe historia yako ya mapenzi.iko clean mpaka umuite mwenzako Malaya,??eti anakimbia mumewe...kwani Daimond hakujua kama Zari ana watoto watatu na alikua na Ivan?
halafu jaribu kujenga hoja strong,unapenda mjadala ila hujui kujenga hoja
 
Hakuna kitu inauma kama kumuona ex wako anafanikiwa, anapata mpenzi zaidi yako wengi wetu tunapenda kuona zilipendwa wetu wamechakaa Kinacho muumiza Diamond ni hiki.

Ndio je yaani anaona Zari anazidi kupendeza tu ana badilisha magari ana furaha ya kutosha na kampata mwanaume ana mzidi domo kila kitu. Domo kazidiwa hadi mashine na king bae[emoji23]
 
Walimwengu wanasema ana hogo [emoji3][emoji3][emoji3]
Hogo halionekan kabisa kwenye vimbato vyake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule kifirimbi anacho lazima labda domo lake tu ndio analitumia vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Diamond muongo sana. Story yake imepinda pinda anajikanyaga mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] birthday ya zari ya last year alijikakamua na essay. Utamuandikia mwanamke aliye kucheat vile. Hapati kiki na watu wengine zari ni kiki. Tena alivyo na roho mbaya kasubiri zari atangaze mahusiano yake ndio aje aongee mashudu ili kubust redio yake.
Diamond's carrier is over anajitutumia ili mradi tu
Wtf are you talking??
Utachekwa hadi na nzige chuki mbaya wewe
 
Maskini, mwanaume hanaga maumbile madogo kwenye uchi alioufungua yeye sasa kwa mfano wewe kwa kukadiria mpaka umri huo ulionao umeshapepetwa na wanaume si chini ya 80 unategemea uweje kama sio bwawa la mtera [emoji37][emoji37]
Tuheshimiane sikujui hunijui.
 
As a man,yanini useme?

Ukinayamaza ukatoa mziki wenye akili ukaendelea kula pesa utapungukiwa nini sasa?

Artists ni kama wana drama hivi!

Ukiangalia,yeye katoa wimbo mpya,huyo peter nae katoa wimbo mpya,wanapigia promo...

These two ladies are from another planet!
 
Hogo halionekan kabisa kwenye vimbato vyake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule kifirimbi anacho lazima labda domo lake tu ndio analitumia vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nasikia ana kidude chembamba size medium ila ana kasi tu kwenye mambo yetu, Hogo analo king k bwana ana mshededee balaaaa[emoji23]
 
Hogo halionekan kabisa kwenye vimbato vyake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule kifirimbi anacho lazima labda domo lake tu ndio analitumia vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakojoza kwa kutumia Mdomo naulivyo mkubwa kitu kinafunikwa chote 😀😀😀😀😀
 
A woman is for only one man,but a man is for many women,mwanamke anayemkimbia mumewe alozaa nae watoto watatu na kukombilia kwa kijana aliyemzidi miaka 10,then anamzalisha watoto wawili bila ndoa halafu na bado anaenda kubanduliwa na wanaume wengine zaidi ya mmoja,isitoshe bado pia anapigwa na vijana wadogo na anaona fahari kuwaonyesha mitandaoni kwa nini asiwe malaya?
Hapa mbona Mzee Machache haitwi hilo jina? Kamzidi yule wa sasa miaka mingapi?
 
Ndio je yaani anaona Zari anazidi kupendeza tu ana badilisha magari ana furaha ya kutosha na kampata mwanaume ana mzidi domo kila kitu. Domo kazidiwa hadi mashine na king bae[emoji23]
Huyo mkaka picha yake unayo siku hizi sipo Intragram, jamaa mwaka huu kazi anayo 😀😀😀
 
Kama kweli ni hivyo, alimtafutia nini????
Ninahisi kijana wetu ameumia sana maana amezoea kubwaga na hajazoea kubwagwa na ndiyo maana hadi leo bado anamzungumzia mwanamke aliyeachana naye kitambo.
Hivi kwa akili yako ndogo,nani kati ya Mond na Zari tangu Feb 14,2018 hadi leo alikua anamuongelea mwenzake? Alichofanya Mond ni kuweka mambo clear na wala hajalalamika,amekuja kuweka mambo sawa kutokana na accusation za huyo huyo Mganda kumshutumu mambo kibao na matusu juu lakini mwana ye alikausha tu,kajibu mapigo leo manahaha....."Usimfanyie jeuri hata siku moja mwanaume aliyekuvua chupi" alisema Mange Kimambi
 
Hakika chuki humchoma anaeihifadhi FARID KUBANDA utamfatilia tu na ngoma zao utasikiliza utake usitake Media yao utaifatilia tu huna namna agree is the best in our cunt country

Sina cha kufatilia kwenye radio yake na ukweli lazma usemwe pale anapokosea mm sio shabiki maandazi[emoji23]
 
Hivi mwanaume gani apewe uchi na Zari asimpige mashine? usitake kujifananisha na mwanaume sisi tunaweza kula hata wanawake 100 na mtaani heshima ipo pale pale wewe ukitiwa na wanaume zaidi ya wawili tayari ushakua malaya..jifichieni aibu za kufunuliwa hovyo

hahahaah acha kuchekesha umati,unazidi tu kumuharibia,...mwenzako hakula tu akasepa…ALIKUA NA RELATIONSHIP NA ZARI...…wanaume mala.ya hawatakagi commitment..atalala na wanawake 100 na asitosheke ndio Lidiamond lako lilivyo
 
Nasikia ana kidude chembamba size medium ila ana kasi tu kwenye mambo yetu, Hogo analo king k bwana ana mshededee balaaaa[emoji23]
Kila siku yeye analalamika wanacheat. Hapo anajidhalilisha na mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata akitoka Mars adondoshe tu lakin sio kutumia migongo ya watu kupata traffic
Bidada hajatumia mgongo wa zari kaulizwa maswali na jonijoo akiwepo na mzee abduly ndani akajibu inavyotakiwa na kina vingine pengine hujavisikia huko IG au hapa.
Kasema ile nyumba ya SA ni yake anauwezo wa kuiuza ila anawapenda wanae sana pili ana dem mkali mtoto jojo anamiaka 24 alafu ana hela. Hizi mambo ni inspiration kwetu vijana wengine ila wewe waeza ona ni ujinga.

Kaajiri watu kibao
 
Back
Top Bottom