Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kuna watu wajinga sanaa...yaani mambo anayoyafanya zari kwa kua vipofu wa mahaba wanamshabikia kiukweli anachemka mnoo!!!tena mnooo!!!
Five kids bado unafanya ujingaaStaajabu na wewe
Yule hata hafikirii watoto wataonaje..itawaathiri vipi.
Hajali hilo
Bado waje kuona ile video mama anajipiga puchu huku msitu upo nje..ashukuru hakunyoa kwenye ile video.
We mtu ana ushosti na wakina vera unatarajia aweje?