Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Kama kuwa gold digger ni kitu rahisi na ukadig hayo magari na majumba nenda na ww ukawe gold digger
Kuwa gold digger ni kipaji na kuna "levels" hata bongo mpo sema mnapewa ya mawigi tu na viwalo. Zari level zake ni kama wakina P square n.k anavuka boda yani
 
Acha kujitetea nenda kamuone mwanao for God sake yaani kisa hapokei simu au hajibu sms ndo umepa excuse ya kuuchuna
Miezi 5 hujui Nini kinaendelea nenda kamuone mwanao akakufukuzie getini. Mtoto Ni wako una Kila sababu yakwenda kumuona hata kungekuwa na vita. Your own fresh blood sir.
Najua na naumumia kuliko unavyodhan iila haya mambo yako complicated kidogo hasa kama mama mtoto yuko kwenye mahusiano yake!!
 
1556129637980.jpg
l
 
Zari ni mdangaji km wengine tu daimond tunamuamini pia km yeye aliweza kumuamini ,sisi ni nani tusimuamini?

Halafu na yeye kumbe alikua sidechick wa Peter ?hahaaaaaaaaaaa

Jamani kaaahh!

Hivi king bae si amuhamishie kwake na ile timu ya basket jamani,kwanini mwanamke wako asimangwe tena we milion na mwanamke bosslady
Nacheka leo mapovu ya team zari
 
Kuwa gold digger ni kipaji na kuna "levels" hata bongo mpo sema mnapewa ya mawigi tu na viwalo. Zari level zake ni kama wakina P square n.k anavuka boda yani

Aliopewa keshapewa tu
 
hii yote ni kutaka kumringishia Dai halaf kakuta mchiz mwenyewe hata habari hana,huyu mwanamke tukisema malaya watu mnapanic,atamegwa then atatemwa atapata basha mwingine ataendelea kumlingishia Kingbae wa wake a sasa kwamba wewe sisi chochote nimepata goma jingine,nako pia atamegwa na kutemwa mwisho wa siku 50 hii hapa......highest stage of insane
 
Wameshupaa mdangaji mdangaji,mara malaya hivi kuna mdangaji asie malaya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
People are dying to have her life... Eeeish smh..... Low life people have problems.. Kuna watu wana pretend to be nice girls while wamelalwa na wanaume zaidi ya ishirini... Unaweza kuhesabu wa Zari wasifike hata kumi but they are here abusing and calling her names...

Jamani kama kudanga is that simple dangeni nanyi mpate hiyo life yake mnayooita fake.... Pheew
 
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa kajichanganya Sana
Nadhani kilimuuma Diamond Ni baada ya kusitisha kutoa matumizi ya watoto alitegemea Zari angereact kwa kupanic na kumbembeleza
Sasa miezi 3 hatumi hata Mia alafu mwenzie anaona fresh tu maisha yanaendelea na watoto Wako vizuri
Alichokifanya kaona hakikuleta impact aliokusudia na hio imemuuma sana
Exactly
 
MMMNhhhhh…. hata kama alikua anacheat,yeye Diamond hakucheat pia??..wanawake kuletewa mtoto ndani ni breaking up point...uhusiano lazima ulege lege...afadhali umkute mwanaume na mtoto ila sio kuletewa ndani, wachache sana wana survive this,mie simlaumu Zari kutafuta na kupata attention somewhere else...Mondi ndio responsible kila siku wanawake...hafu sasa hivi anataka ku play sympathy/victim card..hovyoooooo
Kwakweli hata mimi nikiletewa mtoto wa nje ya ndoa, itabidi nitafute side B wa kunipunguzia machungu.. Japo ajue kunibembeleza tu.
 
Yes Zari anakiburi kwa Diamond kwasababu pesa ya kuwamudu watoto wake anayo
Kinachomponza Diamond kuamini utajiri wake utamfanya Zari awe mnyonge Sasa imekuwa kinyume ndo maana unaona Diamond kakereka na Ego flani ya kijiona mwamba.
Waganda Ni Kama Wahaya hawapendi kujishusha ndo maana unaona hivo
Sema wahaya ni sehemu ya waganda waliolazimishwa kukaa Tz na mzee wa awamu ya kwanza.
 
Back
Top Bottom