mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Kazi kweli kweli watu waliopata watoto watatu kuachana huwa ni ndoto. Kukumbushiana muhimu aisee coz they share a lot of experience together. Hyo ya king Lawrence na ivan ukute wanatafta kiki tu na hivi walishawaona wabongo ni bendera fata upepo. Basi watatumia kila kitu kujipatia kiki

Hivi kuolea maana yake nini?
So kuishi na mtu zaidi ya miaka mitano, kuzaa naye watoto 3, kukuhudumia kama mke na wewe kumuhudumia kama mme sio kuolewa?
Alivishwa pete ya uchumba na kutolewa mahali ule ni ndoa ya kimila.
Akisema ya kale ya mtu yamepita hapo nitamwelewa.Lakini kupinga kuwa Zari hakuolewa ni kujipumbaza
Nimesoma mahali kuwa ndugu wa Ivan wamemzawadia benz tiffah, sielewi elewi haya mambo,
Hao walikua mke na mume kabisa mana hata bongo ukiishi na mtu ka mwaka tayari ni wana ndoa hao.
Ya kale yanapita kama hawakuzaa pamoja watoto wale ni bond ya wazazi kupasha kupasha kiporo.
Nimesoma mahali kuwa ndugu wa Ivan wamemzawadia benz tiffah, sielewi elewi haya mambo,
Hapo wanajaribu kumuharibu jamaa kifkraa hahaha hapo lazima kinukee.ukisikia cheza na skill za watu kuna weza kuwafanya watu vichaa ndio huko.subirii
Hao walikua mke na mume kabisa mana hata bongo ukiishi na mtu ka mwaka tayari ni wana ndoa hao.
Ya kale yanapita kama hawakuzaa pamoja watoto wale ni bond ya wazazi kupasha kupasha kiporo.
Pre -assumption of marriage....! Pengine Diamond amenukuliwa vibaya maana bila shaka Zari na x-husband walishakaa pamoja chini ya paa moja zaidi ya mwaka mmoja!Hivi kuolea maana yake nini?
So kuishi na mtu zaidi ya miaka mitano, kuzaa naye watoto 3, kukuhudumia kama mke na wewe kumuhudumia kama mme sio kuolewa?
Alivishwa pete ya uchumba na kutolewa mahali ule ni ndoa ya kimila.
Akisema ya kale ya mtu yamepita hapo nitamwelewa.Lakini kupinga kuwa Zari hakuolewa ni kujipumbaza
Pre -assumption of marriage....! Pengine Diamond amenukuliwa vibaya maana bila shaka Zari na x-husband walishakaa pamoja chini ya paa moja zaidi ya mwaka mmoja!
Labda kama alijaribu kusema Zari hana ndoa hadi sasa....na ilisha vunjwa na hata kama ilikuwa ya kimila bado itatambulika!
Kuna mazingira yanayompa ushindi Zari kuwa mtu huru lakini kusema hajawai kuwa na ndoa ni uongo labda kama hakuwai kufanya sherehe ya ndoa nitakubali!
Lakini naamini Zari na Iv walitengana na kuachana ..!
Bado Zari atamshinda huyu jamaa maana hatoweza kwenda mahakamani kuna mazingira mengi yataonesha hawako pamoja na Zari kwa sasa na yeye sidhani kama alishawai kwenda popote kujaribu kupigania mahusiano yake na Zari!
Hiyo ya tiffah ni frastuation na maumivu ya Ivan kumuona Zari yuko happy wala mtoto siyo wake..Kazi kweli kweli watu waliopata watoto watatu kuachana huwa ni ndoto. Kukumbushiana muhimu aisee coz they share a lot of experience together. Hyo ya king Lawrence na ivan ukute wanatafta kiki tu na hivi walishawaona wabongo ni bendera fata upepo. Basi watatumia kila kitu kujipatia kiki
Nimesoma mahali kuwa ndugu wa Ivan wamemzawadia benz tiffah, sielewi elewi haya mambo,
kumbe walisha talakiana basi swala ni rahisi sana..Mond kajitoa ufahamu sana. Zari akihojiwa kwenye sporah show anakiri ametalakiana na Ivan. Na kuna picha inamuonesha akitolewa mahari na Ivan hivyo hakufunga ndoa ya msikitini au kanisani ila alifunga ya kimila. Kupenda kusimpofue.
Impliedly wote walikua wanakubaliana na hali ya mahusiano ya kindoa kufika mwisho.
Hao walikua mke na mume kabisa mana hata bongo ukiishi na mtu ka mwaka tayari ni wana ndoa hao.
Ya kale yanapita kama hawakuzaa pamoja watoto wale ni bond ya wazazi kupasha kupasha kiporo.