Diamond: Zari hajawahi kuolewa

Diamond: Zari hajawahi kuolewa

Hivi diamond amekosa binti wa kuoa mpaka amfuate mama wa watoto wa3 tena aliyemzidi umri? hivi diamond angekuwa mdogo wako au kaka yako ungemfikiriaje?
 
Hivi diamond amekosa binti wa kuoa mpaka amfuate mama wa watoto wa3 tena aliyemzidi umri? hivi diamond angekuwa mdogo wako au kaka yako ungemfikiriaje?

si anataka awe juu lazima atafute wanawake maarufu ili awe gumzo mjini ila sidhani kama alikuwa na nia ya kuowa bibj ilitokea bahati mbaya
 
Back
Top Bottom