Diamondplatnumz VS Alikiba moja ya Strong battle na ina Fun base Kibao

Diamondplatnumz VS Alikiba moja ya Strong battle na ina Fun base Kibao

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Diamondplatnumz VS Alikiba moja ya battle ambayo iko very strong huwezi kutaja Bongo Flavor without hawa Ma giant Wawili

Bongo Flavor kwa sasa imekamatwa na Diamondplatnumz na Alikiba hao wengine ni Wafata mkia tu


The Next New Generation itakuwa na Mahasimu Wawili Marioo VS Aslay (sijui aslay anakwama wapi au ni kiburi kimjubisha) after Diamondplatnumz and Alikiba basi itafata Marioo VS Aslay
 
Imaginary fan base, Aslay ameshapotea na atabaki jina tu hata Beka Fleva kwa sasa ana impact zaidi ya Aslay. Kuitengeza brand na kuifanya iwe strong kumemshinda kabisa, lawama ziende kwa management yake. Marioo anaonekana kuwa na management strong lakini kuvuma na ku'maintain ni vitu viwili tofauti kabisa, let's give him time tuone ila kwa sasa anafanya vizuri.
Watu ninaoamini(kwa mtazamo wangu) wata'maintain kwa muda mrefu ni Harmonize na Rayvanny na kitakachowasaidia ni hatred baina yao kwani imegeuka driving force hasa wanavyochonganishwa na fans ukizingatia kuachana kwa Harmo na Kajala na couple ya Vanny na Paula ni vichocheo ukizingatia fracas yao wote hapo nyuma.
Hata rivalry ya Sadala na Kiba craftsman man Ruge aliitengeneza makusudi kuchangamsha game, hata back in the days Bongo movie ilichangamshwa na rivalry ya Kanumba na Ray baada ya Kanumba kufariki na rivalry kupotea game ikapooza.
 
Kuna mmoja hapo kaachwa mbali saaaana ndio maana hataki wapatane.
 
Hapa hakuna bifu ila kuna mmoja ni kunguni wa mwenzake... Hapo unajaribu kulinganisha man u na ihefu
 
Back
Top Bottom