Diamonds are forever, nguvu ya umma imeongea

fasiliteta

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
2,372
Reaction score
4,090
Mpaka sasa hawaamini hao Clouds, waendelee kukuina kichwa sanaaaa
Hili jembe lishatoboa tundu muda sanaa, wamechelewa waendelee kujipanga kwa hao wengine walokubali kunyanyaswa

Kwa sasa unapoongela WCB unaongelea group ya watu na kila mmoja na fans wake na mizizi yao,
Unaongelea kundi la vijana na wanahabar wadogo wanaotafuta ridhiki zao kupitia habar za WCB;

Unaongelea blog kubwa zinazouza kupitia WCB

Unaongelea mafans wa africa mashariki na wadau magwiji wanaosapoti WCB

Uonaongela vijana wenye kuona vijana wenzao wa rika lao wakichomoza kimasihara kupitia WCB na kutoboa maxima(ROLE MODEL WAO)

WATU WALIOWAEKA ROHONI WCB MPAKA KWENYE VIBANDA VYAO NA MAGARI,OFISI ZAO NA KILA KITU
UNAONGELEA TROOP YA WATU WALIOJIAJIRI KUINGIZA NYIMBO NA SHOW ZA VIDEO KUPITIA WCB

unaongelea ummma, ummmaaaaaaaaa NOTE ummmaaaaaaaaaa, nenda mikoani zunguka kila konaaaaa

Daaahhhhh CLOUDS/RUGE soma alama za nyakati, utapotea
 
rorya niliona saloon ya kiume nyumba ya udongo inaitwa WCB saloon

njia ya mabibo loyola.. mbele ya loyola ukitokea mabibo kwenda kariakoo,,, upande wa kulia barabarani kuna car wash kubwa sana inaitwa WASAFI CAR WASH ina logo za WCB kibao... hao wote ni die hard fans..

Misungwi kuna saloon pia inaitwa Wasafi...

diamond anajulikana sana kuliko clouds tukiongelea swala la nchi nzima.. hata mtoto wa miaka mitatu muulize diamond au clouds ipi anaijua atakujibu diamond na atacheza ngololo ngololo
 
diamond anajulikana sana kuliko clouds tukiongelea swala nchi nzima.. hata mtoto wa miaka mitatu muulize diamond au clouds ipi anaijua atakujibu diamond na atacheza ngololo ngololo
Huo ndo ukweli,sijui RUGE hakuliwaza hilo,maskini sa hivi wanataka kumtumia aslay baada ya kumtumia haswa kiba ktk fiesta enzi zileee kutwa nzima wanacheza SEDUCE

Hawa jamaa ukiona wanakupamna sanaaaa,stuka kuna dili wanataka kupiga
 
Huwa napendaga kurudia comment yangu Diamondplatnumz ndio msaanii wa kwanza Afrika Mashariki anaziangusha Media na kuendelea kusimama mwenyewe Ahsante Chibu endelea kuwakomboa Wasanii wenzio kifikira na kuufanya Muziki biashara kama nchi zingine zilivyoendelea katika Tasnia hii.
 
Mbeya nilikua najua ni Hip Hop mwanzo mwisho,lakini asilimia 70 ya bajaji zina nembo ya WCB au picha za wasanii wa wasafi.....Nimesema jana na narudia leo MTU WA KUMSHUSHA DIAMOND BADO HAJAZALIWA.ALIZALIWA KUSHINDA.
NA HIVI KAONGEZA JESHI KUBWA,HAHAHAAA WASAHAU TU KUBABEKI,WAO WENYEWE SIKU HIZI BILA KUANDIKA HABAR ZA MONDI HAWAPATI MBESAAAA
 
Mie big five yangu ni kwa Mrs mission town tu,hapendagi ujinga.[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Wakuu walioko DR Congo au waliopata kufika kama watakubaliana na mimi kua kuzungumziwa DR Congo tena Kinshasa sio lele mama, mwaka 2015 nimekuta jina la Diamond Platnumz likiongelewa Congo,na sio Congo hii ya bâswahili yaani North ans South Kivu la!! Bali Kinshasa, blogs kama Kinshasamakambo.com wanamzungumzia sana tu na humpambanisha na Fally na anapata wafuasi, sasa lazima ujue kutoboa Kinshasa sio lelemama. Huko Goma na Bukavu ndio usiseme mpaka T-shirt zinachapwa na kuuzwa..mimi siwajui hao wapinzani wake ila sijawahi wasikia huko nje
 
Mkuu hata mbele, ukikutana na washkaji wa kutoka Ghana, Nigeria, Cameroun etc, ukiwaambia nimetoka Bongo lazima wamtaje Diamond Platnumz. Yaani kama masihara lakini ndio ukweli.
 
JAMAA ALIONESHA NJIA KITAMBO SANA BAADA YA KUGOMA KUSAFIRI NA BASI LA FIESTA NA KUTAKA KUPANDISHWA NDEGE YEYE NA KINA IYOBO PIA ALIPWE MALIPO MAZURI....
Wengi wakasema anaringa kumbe ni kujitambua.Nafikiri umeona matunda yake baada ya kukataa kuwa kaa
 
rorya niliona saloon ya kiume nyumba ya udongo inaitwa WCB saloon

njia ya mabibo loyola.. mbele ya loyola ukitokea mabibo kwenda kariakoo,,, upande wa kulia barabarani kuna car wash kubwa sana inaitwa WASAFI CAR WASH ina logo za WCB kibao... hao wote ni die hard fans..

Misungwi kuna saloon pia inaitwa Wasafi...

diamond anajulikana sana kuliko clouds tukiongelea swala la nchi nzima.. hata mtoto wa miaka mitatu muulize diamond au clouds ipi anaijua atakujibu diamond na atacheza ngololo ngololo
Siku nyingine ukipita hyo njia nishtue mkuu
 
Kwahiyo Diamond ni maarufu Tanzania kuliko Fiesta?

Kweli vipofu wakiongozana ni lazima waingie shimoni.
 
We unaongelea fiesta tena,tembea mikoani uone,,huyo dogo anauwezo wa kufanya fiesta zake na zikawa kubwa kuliko ya mawingu,angalia mfano kwenye wasafi festival tu mwaka jana..
 
Ndio umewahi sikia fiesta rorya? au fiesta Nkasi? au fiesta Ngudu... ila huko kote harusi ya bush tu nyimbo za diamond wanazicheza...

hadi vilabuni nyimbo za diamond zinapigwa

Back
Top Bottom