Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
BADO,tunaisubiri hii AVATAR,lazima mtu apate heart attack.Diana Dabo Diff fanya mpango uweke avatar yako, tena nitasuuzika zaidi kama itakuwa ni picha inayokuonyesha kuanzia maeneo ya kiunoni kushuka chini.
BADO,tunaisubiri hii AVATAR,lazima mtu apate heart attack.
hahaha! Kwa usumbufu anaopata cheusimangala sidhani kama nitaweka picha yangu kwenye avatar lakini kwa wenye kutaka kujua mzigo wangu umezidi kidogo ule wa avatar ya cheusi.
Welcome back TripleD; we really missed you!
Thanks kakalende kati ya pm's nyingi nilizopata zako na za Fidel80 za kistaarabu.
BADO,tunaisubiri hii AVATAR,lazima mtu apate heart attack.
AVATAR ya mwanajamvi mwenzetu ilishaleta balaa humu jamvini hadi mhusika akawataka radhi wale wote waliokumbwa na mifadhaiko na aliahidi kuifuta ili asiendelee KUWATEGA ilihal yee ni mlokole. DDD natuwemo tena jamvini karibu sana
YES-yaani inaonekana jamaa wana ku-pm kwa kwenda mbele,duuuuh!!!!!!ukiweka avatar yako si itakuwa balaa-hizo hits mtandao waweza crash
mzigo upi tena?
Hahaha! mgongo yakhe!