Diana Kimario: Siwezi kumvulia nguo na kuliwa uroda na mwanaume aliyetembea na Lulu Michael

Huyo nae anatafuta wa kumtoa marinda apate japo vitz ndio ubongo movie huo, mbunye ndio msingi wao hpo anatangaza biashara yake
 
Mabongo movie wamekuwa wengi huyu Diana ni wa wapi tena.
 
Hahhhhahhhahha weka pichaa nione kama upo above 30

Hata haina haja ya picha, ntakutafuta Live kabisaaa aisee, humu privacy ni muhimu aisee maana unaweza kuta unachangia Thread moja na watu wanaokuheshimu sana baadae ikawa balaaa!!MMU niliwahi weka thread "Support itolewayo na Avatar zetu"...acha avatar ziendelee kustustili.
 
huyu binti kuna kipindi alidai yeye bikra..vp tena na nusu mwaka kinyumba...
 
Bongo kuna vituko..hivi kweli, pamoja na kwamba simfagilii Lulu.....lakini ni fuska gani atatoka kwa Lulu ndio aende kwa mama Kimario ?

Nadhani anayemaliza kwa mama Kimario ndiye atafikiria wapi kwa kumpata Lulu....na baada ya Lulu ndio atamtafuta mamiss TZ...kama kina, Salha na wa kaliba hiyo................kurudi kwa mama Kimario ni sawa na JKT Ruvu kushuka daraja.
 
Watoto wanaacha kufikilia shule!!!!! wanawaza ufuska
 
ok
diana napenda alivyoigiza kwenye movie ya ''kigodoro'' aliuvaa uhusika vizuri
hayo mengine mie sijui
 
So yeye anatoa tuu sharti asiwe shem wake daah kweli hawa ndio maceleb wakibongo yaani yanawaponyoka tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…