Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
- #21
Lipo pale postaa
Ilo jukwaa ni kama habari au hadithi ya kusadikika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipo pale postaa
Hahhhhahhhahha weka pichaa nione kama upo above 30
Mbona amekaa kimcharuko hvyo...
Katuwekee jukwaa la wakubwaa bana tutoe tongo tongoo
Anaonekana tu...Ni mcharuko kweli
Huyo nae anatafuta wa kumtoa marinda apate japo vitz ndio ubongo movie huo, mbunye ndio msingi wao hpo anatangaza biashara yake
Mbona amekaa kimcharuko hvyo...
Watoto wanaacha kufikilia shule!!!!! wanawaza ufuska
So yeye anatoa tuu sharti asiwe shem wake daah kweli hawa ndio maceleb wakibongo yaani yanawaponyoka tuu.LULU NA DIANA
Msanii wa bongo movie Diana Kimaria ameibuka na kukanusha vikali kuwa kamwe hawezi kuliwa uloda na mwanaume aliyempitia rafiki yake Lulu Michael kwa sababu kwani wao ni zaidi ya rafiki.
Akizungumza na gazeti namba moja nchi kwa habari zaa uchunguzi la Maskani Bongo baada ya kutokea taarifa kuwa amekuwa akiiba wanaume za rafiki zake akiweo huyo Lulu, Diana alisema" Katu siwezi kufanya hivyo hivyo mwanaume yeyote anaemla uloda LULU mimi ni shemji yangu hivyo siwezi fanya upuuzi huo" Alisema Diana ambae amewahi kuishi kinyumba na msanii fuska Manaiki Sanga zaidi ya nusu mwaka huku Mama yake na Diana akitoa baraka za wawili hao kuoana kabisa
Huyo Diana ndo nani?