Diana Kimaro

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Leo nilikuwa nacheki movie mpya ya JB inaitwa DANIJA, movie imechezwa na JB mwenyew,Adam kuambiana,Gabo na muhusika mkuu wa hiyo movie anitwa DIANA KIMARO, dah huyu demu ki ukweli yupo vizuri sana, ukiachilia mbali mvuto wa shepu yake na sura nzuri, vile vile ni mkali sana kwenye uigizaji na anajua kujibeba, ana vitu vingi sana huyu dogo, hawa wakongwe wakibweteka tu dogo anawapiga bao, achilia mbali uzuri wake ila uwezo wake kwenye kuigiza ni mkubwa sana kuliko umri alionao, wengi uwa wanamfananisha na lulu kwa kuwa Mara nyingi wamekuwa wakiigiza wote, hata kwenye movie ya lulu ya FOOLISH AGE waliigiza wote, lulu pamoja na ukongwe wake kwenye game ila anasubiri kwa Diana, tukizungumzia kipaji haswa, Diana kabarikiwa kwa asilimia zote, kama akiwa serious kwenye game atafika mbali sana, ana vitu vizuri sana kwenye ubongo wake... jaribu kununua hii filamu ya DANIJA ujionee mwenyewe uwezo alionao nisizungumze sana.
 
Danija
 

Attachments

  • 1390075557989.jpg
    50.9 KB · Views: 1,878
Kapo vizuri kalikua kashoga ka lulu lkn lulu alivuofungwa ushoga ukaisha
 
ndio yule alioigizaga movie fulani hivi na Lulu pamoja na Ray kama uncle ya watoto watukutu
 
For promo use only

Najua hatupendi vya nyumbani, ila ningeweka Olympus has fallen au a long walk to freedom sidhan kama ungeongea hivyo, nyumbani ni nyumbani mkuu
 
Je yule alieigizaa kama mke wa jb anaigizaaa vizuriii balaaa sijaonaaaaa
 
Je yule alieigizaa kama mke wa jb anaigizaaa vizuriii balaaa sijaonaaaaa

Yule ni noma vibaya, mtu unaweza kujua ndo maisha yake, anaitwa marriam ismail, hajafanya makosa mule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…