Diana Spencer na Financial Service wa JF (Special thread)

Diana Spencer na Financial Service wa JF (Special thread)

Chereko tena

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2019
Posts
467
Reaction score
520
Wanabodi habari,

Hawa dada zetu avatar zao ni threat katika moyo wangu, Warembo, macho yao, midomo midogo, pua ndogo, nahisi mnawaonaga, wanapendeza mnoooo, kichwa kinauma last seen yao tangu saa sita mchana kipindi hiki na hii korona.

Mh!, nilizoea kuwa hata na like post zao lakini Leo moyo una madonda,Kama umechomwa sindano, Kama mmebanwa hata kwa wizi wizi last seen walau iwe saa 01:40 jioni roho inaumaaaaa,
 
Back
Top Bottom