DIARA angeweza kudaka penalt zote, sema aliamua kuwapa presha mashabiki wa Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama uliangalia mpira wa Jana wa WANANCHI vs Geita gold sports nadhani utakubariana na Mimi kuwa

Diara aliamua alikuwa na hesabu zake Kali tu ......kwani alikuwa na uwezo wa kudaka penalt zote za mwanzoni ........pia kitendo cha kukosa penalty ile ikuwa ni GAME plan ili kuwa tumbo joto shabiki Lia Lia za simba (MAKOLO)

Kwa sababu alijua kuwa YANGA (Russia) ilikuwa inacheza dhidi ya muunganiko wa timu nyingi Geita gold sports + simba + Azam ( NATO) at the end wote walikula kichapo heavy

Naomba kuwasilisha
 
yote haya Ni uhuru kuzidi nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…