DIARA angeweza kudaka penalt zote, sema aliamua kuwapa presha mashabiki wa Simba

Manara japo ni lopolopo ila sometimes anakuwaga mkweli
"Huko yanga mwenye akili ni mzee kikwete tu na mzee sande manara waliobaki ni mazuzutu"
JE vipi makolo wailio changishwa jero jero za kujenga uwanja ......TUWAWEKE KUNDI GAN LA UJINGA [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama uliangalia mpira wa Jana wa WANANCHI vs Geita gold sports nadhani utakubariana na Mimi kuwa

Diara aliamua alikuwa na hesabu zake Kali tu ......kwani alikuwa na uwezo wa kudaka penalt zote za mwanzoni ........pia kitendo cha kukosa penalty ile ikuwa ni GAME plan ili kuwa tumbo joto shabiki Lia Lia za simba (MAKOLO)

Kwa sababu alijua kuwa YANGA (Russia) ilikuwa inacheza dhidi ya muunganiko wa timu nyingi Geita gold sports + simba + Azam ( NATO) at the end wote walikula kichapo heavy
Ukweli unabaki pale pale, Yanga hakuna golikipa mwenye uwezo wa kudaka penati tatu kati ya tano za mwanzo. Simba haijawahi kufikishana na mtu kwenye ujinga wa penati saba, tangu enzi za Idd Pazi, Mwameja, Kaseja na sasa Manula. Kule Mapinduzi Yanga ilifikishana na mtu penati nane!
 
Mwaka 1992 Simba ilichukua ubingwa wa Klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Sasa KAGAME) kule Uwanja wa Amaan Zanzibar, kwa kumfunga Yanga penalti 9-8 baada ya dakika 120 kufungana 1-1.
Beki 2 tegemeo wa Yanga kwa wakati huo David Mwakalebela ndie aliewaua kwa kukosa penalti yake baada ya kuwa wachezaji wote walikuwa wamechapiga, hapo ni baada ya mchezaji 1 wa kila upande kukosa kwenye zile za piga nikupige.
Mechi hiyo mchezaji mmoja wa Yanga alikula umeme wakati wakiwa wako nyuma kwa goli moja.

Unasemaje Simba haijawahi kufikishana penalti saba kwenye kupigiana matuta.
 
Naomba kuwasilisha View attachment 2184097
Huo mwiko wa nyuma umeanza kuleta madhara. Ikiwa ndio hapo upo kamili kamili kabisa unawaza na kuhitimisha. Basi yaweza kuwa jini mahaba linakutamani, kimbia.
 
Ile ilikuwa game tactics....mkuu....imean yanga walijua watashinda.....ila waliona wasogeze mbele muda
 
Mwaka 1992 Simba ilichukua ubingwa wa Klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Sasa KAGAME) kule Uwanja wa Amaan Zanzibar, kwa kumfunga Yanga penalti 9-8 baada ya dakika 120 kufungana 1-1.
Beki 2 tegemeo wa Yanga kwa wakati huo David Mwakalebela ndie aliewaua kwa kukosa penalti yake baada ya kuwa wachezaji wote walikuwa wamechapiga, hapo ni baada ya mchezaji 1 wa kila upande kukosa kwenye zile za piga nikupige.
Mechi hiyo mchezaji mmoja wa Yanga alikula umeme wakati wakiwa wako nyuma kwa goli moja.

Unasemaje Simba haijawahi kufikishana penalti saba kwenye kupigiana matuta.
Hawa ndo wale wanachipukia[emoji23][emoji23]
 
Huo mwiko wa nyuma umeanza kuleta madhara. Ikiwa ndio hapo upo kamili kamili kabisa unawaza na kuhitimisha. Basi yaweza kuwa jini mahaba linakutamani, kimbia.
Mbona una makasiriko mkuu
 
Kama uliangalia mpira wa Jana wa WANANCHI vs Geita gold sports nadhani utakubariana na Mimi kuwa

Diara aliamua alikuwa na hesabu zake Kali tu ......kwani alikuwa na uwezo wa kudaka penalt zote za mwanzoni ........pia kitendo cha kukosa penalty ile ikuwa ni GAME plan ili kuwa tumbo joto shabiki Lia Lia za simba (MAKOLO)

Kwa sababu alijua kuwa YANGA (Russia) ilikuwa inacheza dhidi ya muunganiko wa timu nyingi Geita gold sports + simba + Azam ( NATO) at the end wote walikula kichapo heavy

Naomba kuwasilisha View attachment 2184097
Utaahira huu unapatikana huko Utopolo tu
 
Back
Top Bottom