JE vipi makolo wailio changishwa jero jero za kujenga uwanja ......TUWAWEKE KUNDI GAN LA UJINGA [emoji23][emoji23][emoji23]Manara japo ni lopolopo ila sometimes anakuwaga mkweli
"Huko yanga mwenye akili ni mzee kikwete tu na mzee sande manara waliobaki ni mazuzutu"
Anadaka mpaka mishaleKabisa mkuu......mwamba anaujua mpira
Ukweli unabaki pale pale, Yanga hakuna golikipa mwenye uwezo wa kudaka penati tatu kati ya tano za mwanzo. Simba haijawahi kufikishana na mtu kwenye ujinga wa penati saba, tangu enzi za Idd Pazi, Mwameja, Kaseja na sasa Manula. Kule Mapinduzi Yanga ilifikishana na mtu penati nane!Kama uliangalia mpira wa Jana wa WANANCHI vs Geita gold sports nadhani utakubariana na Mimi kuwa
Diara aliamua alikuwa na hesabu zake Kali tu ......kwani alikuwa na uwezo wa kudaka penalt zote za mwanzoni ........pia kitendo cha kukosa penalty ile ikuwa ni GAME plan ili kuwa tumbo joto shabiki Lia Lia za simba (MAKOLO)
Kwa sababu alijua kuwa YANGA (Russia) ilikuwa inacheza dhidi ya muunganiko wa timu nyingi Geita gold sports + simba + Azam ( NATO) at the end wote walikula kichapo heavy
Mwaka 1992 Simba ilichukua ubingwa wa Klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Sasa KAGAME) kule Uwanja wa Amaan Zanzibar, kwa kumfunga Yanga penalti 9-8 baada ya dakika 120 kufungana 1-1.Ukweli unabaki pale pale, Yanga hakuna golikipa mwenye uwezo wa kudaka penati tatu kati ya tano za mwanzo. Simba haijawahi kufikishana na mtu kwenye ujinga wa penati saba, tangu enzi za Idd Pazi, Mwameja, Kaseja na sasa Manula. Kule Mapinduzi Yanga ilifikishana na mtu penati nane!
Huo mwiko wa nyuma umeanza kuleta madhara. Ikiwa ndio hapo upo kamili kamili kabisa unawaza na kuhitimisha. Basi yaweza kuwa jini mahaba linakutamani, kimbia.Kama uliangalia mpira wa Jana wa WANANCHI vs Geita gold sports nadhani utakubariana na Mimi kuwa
Diara aliamua alikuwa na hesabu zake Kali tu ......kwani alikuwa na uwezo wa kudaka penalt zote za mwanzoni ........pia kitendo cha kukosa penalty ile ikuwa ni GAME plan ili kuwa tumbo joto shabiki Lia Lia za simba (MAKOLO)
Kwa sababu alijua kuwa YANGA (Russia) ilikuwa inacheza dhidi ya muunganiko wa timu nyingi Geita gold sports + simba + Azam ( NATO) at the end wote walikula kichapo heavy
Naomba kuwasilisha View attachment 2184097
Ile ilikuwa game tactics....mkuu....imean yanga walijua watashinda.....ila waliona wasogeze mbele mudaUkweli unabaki pale pale, Yanga hakuna golikipa mwenye uwezo wa kudaka penati tatu kati ya tano za mwanzo. Simba haijawahi kufikishana na mtu kwenye ujinga wa penati saba, tangu enzi za Idd Pazi, Mwameja, Kaseja na sasa Manula. Kule Mapinduzi Yanga ilifikishana na mtu penati nane!
Hawa ndo wale wanachipukia[emoji23][emoji23]Mwaka 1992 Simba ilichukua ubingwa wa Klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Sasa KAGAME) kule Uwanja wa Amaan Zanzibar, kwa kumfunga Yanga penalti 9-8 baada ya dakika 120 kufungana 1-1.
Beki 2 tegemeo wa Yanga kwa wakati huo David Mwakalebela ndie aliewaua kwa kukosa penalti yake baada ya kuwa wachezaji wote walikuwa wamechapiga, hapo ni baada ya mchezaji 1 wa kila upande kukosa kwenye zile za piga nikupige.
Mechi hiyo mchezaji mmoja wa Yanga alikula umeme wakati wakiwa wako nyuma kwa goli moja.
Unasemaje Simba haijawahi kufikishana penalti saba kwenye kupigiana matuta.
Utaahira huu unapatikana huko Utopolo tuKama uliangalia mpira wa Jana wa WANANCHI vs Geita gold sports nadhani utakubariana na Mimi kuwa
Diara aliamua alikuwa na hesabu zake Kali tu ......kwani alikuwa na uwezo wa kudaka penalt zote za mwanzoni ........pia kitendo cha kukosa penalty ile ikuwa ni GAME plan ili kuwa tumbo joto shabiki Lia Lia za simba (MAKOLO)
Kwa sababu alijua kuwa YANGA (Russia) ilikuwa inacheza dhidi ya muunganiko wa timu nyingi Geita gold sports + simba + Azam ( NATO) at the end wote walikula kichapo heavy
Naomba kuwasilisha View attachment 2184097
Tena mnato ndiyo maana Rivers United walijipigia nje ndaniYanga ni ya moto mnooo