Diara ipo siku sifa zitamponza

Diara ipo siku sifa zitamponza

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za saivi wakubwa.

Naomba nimuongelee kipa wa Yanga Diara. Namuona ni kipa wa kawaida tu, hana ubora anaodhani kuwa anao. Hamfikii hata robo ya Manura, naona dogo Msheri ni mzuri kumzidi au wanalingana.

Tabia yake ya kuuchezea mpira kwa sifa ipo siku itampoza ataondoka Yanga kwa aibu. Anasifa sana kama za Inonga.

Mliohumu marafiki zake mwambieni.
 
Msifie pia kwa kuwaokoa aibu ya goal kadhaa kwa utopoloo. Zile one vs one haukuziona?
 
Inonga, Diarra,Sakho na Morrison ni WAHAYA waliozaliwa Nje ya Tanzania kwa kifupi wanapenda Ufalme na SIFA kwa nguvu zote n mwishowe si lolote
Haujakosea
 
Makipa wote wa kisasa wanatakiwa waweze kucheza mpira sio kudaka pekeyake, Ndio mpira wakisasa ulivyo.
Aishi ni Kipa toleo la Zamani na kuhusu kudaka , Aishi bado ana vitu vingi vya kujifunza Kwa Diara.
 
Back
Top Bottom