Thabit Madai
Member
- Oct 8, 2024
- 54
- 140
Yanga wakimkosa Bacca leo akacheza Mwamnyeto namuona Ateba akienda kushangilia kwenye kibendera...
Namuona Diarra akienda kuokota mpira kambani kwa mara ya kwanza msimu hu...
Save hiyo...📌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira hauchezwi mdomoni! Jioni kwa Mkapa ndiyo mbabe atajulikana, baada tu ya dakika 90 kutamatika.View attachment 3129566-Naitazama Forward Line ya Simba yenye Ateba,Kibu na Balua kisha naitazama Defense Line ya Yanga yenye Yao,Boka Job na Bacca.
Yanga wakimkosa Bacca leo akacheza Mwamnyeto namuona Ateba akienda kushangilia kwenye kibendera...
Namuona Diarra akienda kuokota mpira kambani kwa mara ya kwanza msimu hu...
Save hiyo...📌
Tia 50000 umpe Simba utakuja kufurahi mwenyeweYanga nmemuamini mkeka mmoja
Umetia hiyo hamsini tugawane faidaTia 50000 umpe Simba utakuja kufurahi mwenyewe
Mrejesho tafadhali.View attachment 3129566-Naitazama Forward Line ya Simba yenye Ateba,Kibu na Balua kisha naitazama Defense Line ya Yanga yenye Yao,Boka Job na Bacca.
Yanga wakimkosa Bacca leo akacheza Mwamnyeto namuona Ateba akienda kushangilia kwenye kibendera...
Namuona Diarra akienda kuokota mpira kambani kwa mara ya kwanza msimu hu...
Save hiyo...📌