DIARA KUFUNGWA LEO KWA MARA YA KWANZA

Thabit Madai

Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
54
Reaction score
140
-Naitazama Forward Line ya Simba yenye Ateba,Kibu na Balua kisha naitazama Defense Line ya Yanga yenye Yao,Boka Job na Bacca.

Yanga wakimkosa Bacca leo akacheza Mwamnyeto namuona Ateba akienda kushangilia kwenye kibendera...

Namuona Diarra akienda kuokota mpira kambani kwa mara ya kwanza msimu hu...

Save hiyo...πŸ“Œ
 
Mpira hauchezwi mdomoni! Jioni kwa Mkapa ndiyo mbabe atajulikana, baada tu ya dakika 90 kutamatika.
 
Yanga nmemuamini mkeka mmoja
 
Mrejesho tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…