Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yule kipa bora wa Africa na mwanafinalist wa CAF yupo dimbani leo Mali ikicheza na South Sudan mpaka sasa wakiongoza kwa mbili kipindi cha kwanza. Yule kipi wetu mdaka penalty za mbambamba jana hata kwenye benchi sikumuona.
Nilimuona jana. Wakati naangalia nikajisemea kuna watu wakimuona tu langoni, watabadilisha faster channel kwa aibu.Ft: Mali 4 vs South Sudan 0.
Teh teh teh teh teh teh....Yule kipa bora wa Africa na mwanafinalist wa CAF yupo dimbani leo Mali ikicheza na South Sudan mpaka sasa wakiongoza kwa mbili kipindi cha kwanza.
Yule kipi wetu mdaka penalty za mbambamba jana hata kwenye benchi sikumuona.
HIvi Mali walicheza na Sudan au Sudan Kusini?!Nilimuona jana. Wakati naangalia nikajisemea kuna watu wakimuona tu langoni, watabadilisha faster channel kwa aibu.
Ilikuwa ni Sudan KusiniHIvi Mali walicheza na Sudan au Sudan Kusini?!
Wewe ni mbumbumbu KABISA,nenda kaangalie mechi ya congo vs Mali 18 June ,golini upande wa Mali alikaa nani?South sudan hata wakicheza na timu yetu ya kijiji na mimi nikakaa nyanda lazima kijiji chetu kishinde wewe ndo unafika kuwaanzishia uzi hapa?
ALIEWAITA UTOPOLO MAMBWA AJENGEWE SANAMU PALE AVIC TOWN.
SAWA MRS MBUMBUMBU UMEELEWEKA.Wewe ni mbumbumbu KABISA,nenda kaangalie mechi ya congo vs Mali 18 June ,golini upande wa Mali alikaa nani?
AaahaaaScreen ilipasuka kwa KIBU.
Ikafia Tanga........
Hahahahaaa! Huko south sudan klabu bingwa ni zalan fc, jiulize hao mali kabla hawajafuzu huyo muhanga wa kibu d alidaka mechi ipiNilimuona jana. Wakati naangalia nikajisemea kuna watu wakimuona tu langoni, watabadilisha faster channel kwa aibu.
Congo vs MALIHahahahaaa! Huko south sudan klabu bingwa ni zalan fc, jiulize hao mali kabla hawajafuzu huyo muhanga wa kibu d alidaka mechi ipi