Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Yule kipa bora wa Africa na mwanafinalist wa CAF yupo dimbani leo Mali ikicheza na South Sudan mpaka sasa wakiongoza kwa mbili kipindi cha kwanza.
Yule kipi wetu mdaka penalty za mbambamba jana hata kwenye benchi sikumuona.
Yule kipi wetu mdaka penalty za mbambamba jana hata kwenye benchi sikumuona.