Kuna mengi yatakuja kuwa public lakini litakalowashtua wengi ni ‘Diary’ hii ya kiongozi ambayo ilikuwa ‘funga mwaka’ ya 2020.
Wachache mtanielewa kwa sasa lakini funzo kuu ni kuwa uandishi wa taarifa nyeti katika diaries kumewaponza watu ingawa huenda kumeliokoa Taifa.
Kuna walioaminika sana, wakajizolea umaarufu lakini siku hili likianikwa itakuwa ngumu kumeza! Kuna ambao watadhani ni uongo ila bahati mbaya sana ni ukweli unaouma kuujua.
Tanzania yetu itaendelea kusimama, bila kujalisha ni milima mingapi na mabonde tutavuka.
Take note: Diary hii ilikuwa na siri nyingi, imewaacha wengi uchi!