Diaspora Hawatoi connection?

In case you didn't know watu wanazamia kila leo. Kunajamaa namfahamu yupo kule toka 2004 mpaka leo 2023 hana documents.
Ni maisha magumu sana. Bola tu ukae Tanzania utafute milioni mia mbili kwa uhuru, utembee huko. Ni rahisi zaidi kupata pesa bongo zaidi kuishi nchi za watu bila papers.
 
In case you didn't know watu wanazamia kila leo. Kunajamaa namfahamu yupo kule toka 2004 mpaka leo 2023 hana documents.
Hakika. Watu wanaingia kiwanja kila siku wanaacha shule, wanaingia mtaani na wanatoboa. Wanaingia na visiting visa wanazamia na hadi Leo wanadunda. Sisemi watu wavunje Sheria ila inawezekana, kigumu ni kufika kiwanja tu, ukifika mengine yote utazidiashiwa.
 
Unajua kusoma??? Bro kazi ni nyingi ambazo unaruhusiwa I know mwanamke mmoja TX ana caregiver company na anadhamini wabongo wengi tu na wanapata karatasi. Truck driving jobs zipo kibao mwajiri akikudhamini unapata working visa mapema tu. Wanachoangalia ni upungufu wa wafanyakazi katika kada flani mfano kulea wazee mbona unapata gamba mapema tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20230710-160931_Chrome.jpg
    126.8 KB · Views: 18
Connection ya wapi? Watu wenyewe wapo huko klabu hausi usiku kucha wanakoroma kama wapo dozi

Nilikuwa najiuliza wale waliokuwa wanapata wani ya three zamani kwenye zile shule za vipaji maalumu na baadaye wakapotea nchini wako wapi? Sawa klabu hausi imewaibua wanalalama tuu huko hawaeleweki wanaongea nini. Sasa Hawa ndio wanataka uraia pacha?
 
Ni maisha magumu sana. Bola tu ukae Tanzania utafute milioni mia mbili kwa uhuru, utembee huko. Ni rahisi zaidi kupata pesa bongo zaidi kuishi nchi za watu bila papers.
Bongo utafute million mia mbili dah, we unaishi bongo gani au ndio nyie mliouza bandari. Sie wa dagaa chukuchuku.
 
Achana na stori za magengeni watu kama wewe huwa ninawashauri muaanze na safari za karibu kama south africa ili mjue life la bila papers linakuwaje kiwanjani kabla ya kukwea pipa kwenda mbali maana usije ukauza utu wako nchi za watu bwana.
Kama huna papers ni bora ubaki bongo tu maana waliobongo watakupiga bao bila papers huwezi fungua hata bank account, ukiumwa sasa ndio kifo.
 
Recent mkuu 😅
Tusaidie ndugu zako wa Tz. Maana wengi sana TUNADHANI tunakijua kimombo yani tunajifanya wajuaji ila kiuhalisia tupo mbali sana na ukweli, Kwani tunazungumza kitu kinachofanana na kiingereza na sio kiingereza.
 
Bongo bila kuiba kutoboa ni hamna
 

Chief, wabongo wote wanaajiri watu under the table kwenye hizo group homes (caregiver companies), I mean zote. From TX to Seattle to DC to everywhere.

Hakuna mbongo thus far that I know ambaye kapata work permit kwa hizo kazi and I know quite a few.
 
Bongo bila kuiba kutoboa ni hamna
Ni kweli lakini papers ni muhimu nchi za watu japo kukosa papers nchi kama US ni uzembe wako, usifanye kosa la kuoverstay tafuta solution mapema kabla ya tourist visa yako kuisha ikishindikana tafuta dem uoe chapu. Vinginevyo utaishi kwenye majuto na kurudi bongo unaona aibu utakufa maskini kiwanja.
 

Well, you're preaching to the choir nipo kiwanja already, nipo Switzerland rn hiking the Swiss Alps. Niliingia kiwanja, nikatoka out of status for YEARS. Nikapiga box under the table for YEARS. Nikarekebisha mambo. Nikamaliza shule. Sasa nakula kuku kwa mrija. Uwoga wako, umaskini wako.

 
Acha uwoga wewe
 
Mimi nakupa elimu tu ndugu yangu ili utoe ukungu. Alafu wabongo wapo wenye kampuni kubwa kuliko unavyofikiri anyways soma andiko hilo hapo chini ili uijue vizuri EB-3 visa.
 

Attachments

  • Screenshot_20230710-164953_Chrome.jpg
    106.6 KB · Views: 19
Hahaha pole bro kama ulidhani niko mwananyamala ila sio lazima ujue nina rep kiwanja gani
 
Hahaha pole bro kama ulidhani niko mwananyamala ila sio lazima ujue nina rep kiwanja gani

I didn't say upo Mwananyamala ila sio sio dhambi kuwa Mwananyamala either. I was replying to you saying niende kwanza SA.
 
Caregiver unapata papers haraka sana. Chakufanya tafuta wakili ongea na mwajiri wako akudhamini apply EB-3 visa. Unapata na unasebenza mitano tena. Speaking from my own experience.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…