Ni maisha magumu sana. Bola tu ukae Tanzania utafute milioni mia mbili kwa uhuru, utembee huko. Ni rahisi zaidi kupata pesa bongo zaidi kuishi nchi za watu bila papers.In case you didn't know watu wanazamia kila leo. Kunajamaa namfahamu yupo kule toka 2004 mpaka leo 2023 hana documents.