Diaspora Hawatoi connection?

I didn't say upo Mwananyamala ila sio sio dhambi kuwa Mwananyamala either. I was replying to you saying niende kwanza SA.
Its okay chief kama umesafiri but policies zinatofautiana kama australia kupata working viza ni mtihani basi sio kwa USA. US ina selection kibao za working visa ukipata wakili mzuri hukozi permit.
 
Mimi nakupa elimu tu ndugu yangu ili utoe ukungu. Alafu wabongo wapo wenye kampuni kubwa kuliko unavyofikiri anyways soma andiko hilo hapo chini ili uijue vizuri EB-3 visa.

I think I mentioned this earlier. Hapo ndo kipengele. Also, zipo limited to 40k tu a yr.
 
Caregiver unapata papers haraka sana. Chakufanya tafuta wakili ongea na mwajiri wako akudhamini apply EB-3 visa. Unapata na unasebenza mitano tena. Speaking from my own experience.

Sawa. More power to you. Wengine watajifunza na kupata new ideas kupitia wewe.
 
I think I mentioned this earlier. Hapo ndo kipengele. Also, zipo limited to 40k tu a yr.
View attachment 2684009
Ni kweli lakini inategemeana na vacancy bro, na uhitaji wa kada flani au upungufu wa nguvu kazi katika secta flani kuna kazi hazina competition na zinauhitaji katika jamii legal officers wapo watakushauri. Mfano caregiver Kwa US hauhitaji experience ili kuapply EB3 visa. Canada ndio kabsaa mteremko.
 
naweza apply EB3 nikiwa bongo au paka niwepo nchi husika
 
naweza apply EB3 nikiwa bongo au paka niwepo nchi husika
mambo mengine ni rahisi kufanya ukiwa kiwanja tayari. Bongo ukiaply si utanyimwa viza tu alafu gharama za EB3 zinafika mpaka 2500$ hiyo loss kibongobongo utachanganyikiwa. hiyo interview yenyewe itakuwa ya moto sana. Kwanza utapata wapi sponsor maana mpaka uwe na sponsor ambae ndio muajiri wako akutumie labour certification.
 
kweli mzee
 
Wewe uliyeko bongo una cha maana kipi?

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Bila papers maisha ulaya, US ni magumu sana. Unajificha ficha. Kazi za kubaingaiza.Muda wowote unaweza kukamatwa na kuwa detained, hata kuwa deported.

Ukiumwa ndio kasheshe.
 
Naye si ni diaspora, una maana naye hatoi connections?
Lema alikuwa mkimbizi!!! Vijana wanapotezwa na maisha wanayoona kwenye sinema lakini uhalisia kwa mfano huko marekani kama huna job utaomba urudishwe kwenu kwani maisha ni magumu sana!! Kuna omba omba kibao na watu wanalala barabarani na chini ya madaraja!!! Ukiwa na akili yako imetulia bila mapepe Bongo tambalale huwezi kufa njaa lakini huko majuu wasikudanganye kule hakuna mjomba!!!
 
We uko bongo unaishi mabwepande unaona umetusua life.


Wabongo nuksi sana pumbavu
 
Mm sjataka tunkwenda nje .kila kitu kiko mtandaon tu skuiz.eti uende ulaya ufikie kwa mtu .unadhani kasulu
 
Wana group lao kama vp nimupatieni namba ya wasapu🙂🙂😉
 
Mkuu

Kwanza wabongo pale Airport wana roho mbaya, niliweka uzi hapa kuna vijana walipata Visa, Airline waliwanyima tickets na sababu wanasema eti wakienda nje hawatarudi Tanzania, hivi wao inahusiana na nini kama shirika?

Tumepiga simu KLM nchini UK na kuwapa report na wanafanya uchunguzi, sijui kama watachukua hatua. Vikwazo ni vingi sana vya kusafiri, pamoja na ugumu wa visa, mo naona visa sio ngumu kama ugumu wa kutoka nje ya TZ ,yaani Airport vikwazo. Utaombwa rushwa mpaka, au hutoki.


Mchongo wa Visa.

Kuna Visa za kazi German, UK na Canada.

Angalia YouTube jinsi ya kufanya maombi. UK wanataka watu kwa wingi kama care workers, Nurses and Doctors katima wizara ya Afya.

Pia Engineers na sasa kuna labours imewekwa kwenye list.

Wakati wa maombi watahitaji code ambayo utaweka kwenye Application, code hii kutoka kwa sponsor, pia watataka bank statements uwe na at least £1200 . Pia upass English test . Kama unataka kuomba kazi ya care , italazimika uwoneshe cheti cha mafunzo, course ya care wanatoa red cross hapo Dar es salaam, unafanya kwa 3 weeks. Cheti utaambatanisha pamoja na CV.
Utahitajika ufanye checking ya TB , wana kituo chao hapo Dar es salaam.
Application fee sijui kiasi gani.

Visa route ni 3 years to 5 years, ukipata 5 years route , unaweza kuchukua your independent (Family) Baada ya 5 years unaomba permanent residence then citizenship.

Good luck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…