Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kujilipua uishi kama mwewe kipindi nasoma wanaija walikuwa awana permit yan wanafanya kuhama tu makazi kila mwez uwez mkuta sehemu moja wakiona mapolisi wanageuza njia thats not life ili uienjoy abroad nend legally ata ukisimamishwa unatoa tu karatasi lako unasongaWanaija na wakenya hawaoni wenge kujilipua majuu, sema wabongo wengi wana kiuoga fulani sawa na mtoto wa mwisho asiyetaka kuondoka kwenda mbali na mama yake. Na hii mentality ya uoga imetulemaza mazima....
Kule sio kurahisi kama watu wanavyodhani tatizo watu movie zinawaharibu sanaMkuu mimi nmeenda ulaya kwa kusoma ndio hulipi ada lakini huwez pata hyo temporary permit bila kulipa ada na ili ubadili status moja kwenda nyingine lazima ulipe ada upate permit ndo mengine yaendelee ukitaka kusoma aya usipptaka sawa acha shule umebadili status tayar acha shule ujabadili status permit inakuwa revoked
Bro europe life ni tamu kaz zipo sijaadithiwa na mtu uwe mchapa kaz tu mi nmerud bongo lakini najuta why nilirud sema tu ni my parents wish lakini Europe asikuambie mtu kugumu sema tu gumu kama we mvivuKule sio kurahisi kama watu wanavyodhani tatizo watu movie zinawaharibu sana
Ngoja nikujibu Ndio na roho mbaya haswa kwa wapuuzi kama wewe, yaani nikupe connection halafu ufike US nikuhifadhi badala ya wewe ujihifadhi. Wapumbavu kama wewe uwa hawatoboi maana wanategemea wafanyiwe kila kitu, watu kama nyie watu wa majungu na hizi tabia uwa wanasota sana mamtoni na kuishia kurudi bongo. Watu wanacross boarder ya jangwani hadi Libya halafu mtumbwi hadi ulaya wewe unataka kupakatwa hadi upewe hifadhi??? Wapambanaji hawahitaji hifadhi na utawajua tu. Ushauri wa bure nakuomba ujikalie tu bongo, mamtoni hukuwezi utaadhirika halafu uanze kulia lia ughaibuni hapafai kama wenzako.Mbongo Mbongo tu, halafu unaonekana una roho mbaya kama mdudu!.
Kwahiyo kwasababu wewe uliingia bila mjomba au msaada wa kuhifadhiwa basi unataka na mwenzako apitie njia uliyopitia wewe?
Yaani kama wewe ulipata tabu ndo ukatoboa unataka mwenzio asisaidiwe ateseke kwanza kama wewe sio?
Nyie ndio hata familia zenu mnashindwa kuzipa huduma bora kisa mlipitia mateso wakati mnatafuta Mali, kwahiyo unataka na familia iteseke kama wewe kipindi kile.... Acha roho ya malipizi Kila binadamu ana njia zake za kutoboa.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mimi kinacho nifurahisha ni kuona kua zile thd za kuponda wabeba box hapa JF hazipo tena,badala yake hata wale wapondaji nao wanataka connection,
Nakomaa na box,nitarudi kusoma povu.
😀😀😀😀
Kifupi nahitaji connection haijalishi ni njia gani nitatumia .kingine mm mtoto wa kimasikini baba ,mama ndo Mimi kusema kutembea nitakudanganya ingwa kama kusoma ikitokea poa .lkn tusipende kuwaktisha wengine tamaa
Ngoja nikujibu Ndio na roho mbaya haswa kwa wapuuzi kama wewe, yaani nikupe connection halafu ufike US nikuhifadhi badala ya wewe ujihifadhi. Wapumbavu kama wewe uwa hawatoboi maana wanategemea wafanyiwe kila kitu, watu kama nyie watu wa majungu na hizi tabia uwa wanasota sana mamtoni na kuishia kurudi bongo. Watu wanacross boarder ya jangwani hadi Libya halafu mtumbwi hadi ulaya wewe unataka kupakatwa hadi upewe hifadhi??? Wapambanaji hawahitaji hifadhi na utawajua tu. Ushauri wa bure nakuomba ujikalie tu bongo, mamtoni hukuwezi utaadhirika halafu uanze kulia lia ughaibuni hapafai kama wenzako.
Wengi wao ni wale waliokua wakituponda wabeba mabox, wamepigwa tozo maji shingoni, sasa wanataka kuja mamtoni na kuhifadhiwa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mimi wanaponichosha ni kuwaza step ya 10 huku hata ya kwanza hawajaanza. Mtu hana hata visa anauliza makaratasi, you will cross that bridge when you get to it.
Haya basi usilie nimemsameheWe nae acha gubu Mbona anasaidia watu sana na laana zako hazimpati
Ulitaka akupe pesa wapo wengi kawasaidia tu na sio lazima yeye kuna wengine pia wanaweza saidia
Mkuu mimi nmeenda ulaya kwa kusoma ndio hulipi ada lakini huwez pata hyo temporary permit bila kulipa ada na ili ubadili status moja kwenda nyingine lazima ulipe ada upate permit ndo mengine yaendelee ukitaka kusoma aya usipptaka sawa acha shule umebadili status tayar acha shule ujabadili status permit inakuwa revoked
Ukishakua mbele unajiona sio mbongo tena,na unaanza kutusema.
Sikatai madai yako lakini pia diaspora wengi tukiwauliza jambo mnaishia kutuambia tucheki websites za nchi husika
Kuna yeyote ana uzoefu wa life la Australia, huenda labda alienda kule kimasomo, au mpaka sasa yupo huko anasoma, au anafanya kazi, au aliwahi kwenda kwa sababu yoyote ile? Naomba mwenye experience ya huko anijuze shauku yangu nataka kuzamia huko kwa kupitia njia ya kwenda kusoma. Halafu ikiwezekana niunganishe mazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya basi usilie nimemsamehe