Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks kiongozi amna shidaMkuu nauli inategemea na muda unaosafiri itakua in the 1000USD range.
Utatumia gharama zingine ndogo tu kwaajili ya process za pale ubalozini, pia utahitaji kuwa na mwenyeji wako US ambaye utatumia address yake ili SSN na GC yenyewe vitumwe kwake.
Ukishinda GC umeula mzee inakua rahisi sana. Reach out for more info.
🤣🤣🤣🤣🤣Ni raha sana ukipata mtu wa kumlaumu, hujui tu..!!
Weeeh!! Mbona ghafla sana hizi habari🙆🙆🙆🙆Na hasa sisi wanaume tuna *OHO MBAYA SANA kusaidiana yani ni bora umweleze shida yako mwanamke atakuskiliza
Nishafika na kuishi huko na napafahamu vyema. Bahati nzuri sikuwa intouch sana na wabongo wala wa-western... niliishi sana na waarab na wasomali.Kwani mimi nilifikaje? Wengine walifikaje?
Mtu hawezi kwenda nje bila mimi au diaspora?
Kama inawezekana kwanini yeye ashindwe?
Una uhakika gani mimi nakula mema ya nchi nje? Sio nyie mnaosema nje ni kugumu?
Tumesaidiana na shuhuda zipo humu humu jukwani, anasaidiwa anayejisaidia na msaada ni hisani sio lazima.
Nishafika na kuishi huko na napafahamu vyema. Bahati nzuri sikuwa intouch sana na wabongo wala wa-western... niliishi sana na waarab na wasomali.
Gothernburg, Sweden na Halifax,Nova scotia (Canada) na Arizona, U.S 😊
Bro inawezekana kuna WANDEWA ndani ya clan (Wapigaji) hawaamini ndio maana anakua mzito kutuma mpunga sababu hazimuishi😂🤣🤣🤣 But i will talk to him tuyaweke sawa maana nashangaa mwezi mzima unakwama kutuma dola 80 elfu hata kimafungu mafungu,lazima kuna sababu @ Bufa yupo sahii may be kuna watu hawaamini ndani ya clan,sema anashindwa kutuchana live WANDEWA🤣🤣🤣😂😂Kuna anko wangu kanunua jumba Dar si chini ya milion 150 wiki mbili zimepita na Yuko huko huko state.
Mambo ni mengi tutafute taarifa. Piga SMU hata Nala waulize policy za kutuma pesa kutoka USA to TZ
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mzee utakua ulikula mirungi sana na al kasusu😂😂🤣🤣Nishafika na kuishi huko na napafahamu vyema. Bahati nzuri sikuwa intouch sana na wabongo wala wa-western... niliishi sana na waarab na wasomali.
Gothernburg, Sweden na Halifax,Nova scotia (Canada) na Arizona, U.S 😊
Hahaha! Mirungi mingi ipo Netherlands, ufaransa na Uingereza. Nilishangaa kukuta pipi kifua Netherlands 😳😂😂😂😂Mzee utakua ulikula mirungi sana na al kasusu😂😂🤣🤣
Vipi red light district ulipita pale Amsterdam????Mitaa yangu ile kipindi hiko🤣🤣🤣Hahaha! Mirungi mingi ipo Netherlands, ufaransa na Uingereza. Nilishangaa kukuta pipi kifua Netherlands 😳😂😂😂😂
Kumbe wana wanaagizaga kwa watu (ndugu na jamaa wanaokuja kupitia france)
Wabongo roho mbaya , acheni hizo ,ndio maana wengine mnakufa vibudu huko ,na mpaka pesa ya kurudishwa mizoga yenu huku mnachangiwa na wananzengo wa tozo nation ,acheni ujinga jifunzeni Kwa diaspora WA nchi nyingine , hizo fursa hamtazimaliza ,wapo waliokuwepo huko ughaibuni kabla yenu , toeni ramani watu waingie mzigoni .
Kuna jamaa yetu anaitwa "Jamaloo" ni msomali ndo alikuwa kama tour-guide wetu alitupitisha sehemu nyingi sana! Kuna Restaurant ni ya wajamaica sitasahau nilikula vitu kama slice-cake ile sijui... sijui ni kashata kwakweli hata sielewi vilikuwa vitamu ajabu ila kwenye recipe zake na bangi ndani. Nililala kama pono siku hiyo 😂Vipi red light district ulipita pale Amsterdam????Mitaa yangu ile kipindi hiko🤣🤣🤣
Basi msitusumbue huku na connection ***** zenu, endeleeni kula bata tu, Nyie mnawaza kula bata sie tunawaza familia na kizazi chetu miaka 50 ijayo. Tabia zenu hizo za uselfishness kaeni nazo hukohuko.Bongo kutamu mzee baada ya Bi mkubwa kuchukua kitengo magogoni😂🤣🤣🤣🤣 kidogo kuna ahueni.Nilikua na mpango wa kwenda Chicago kule southside Parkway gardens 6400 blocks (WIIIC City)kwenye zile project now days wanaziita O block nikaanzie aharakati huko ila mwenyeji wangu ambae ni raia wa marekani kanitisha kwa kuniambia ukweli kuhusu gang,s violence eneo analoishi ambalo mimi nitafikia kwake kukaa nikaghairi kwa mda mipango yote mkuu.
POVUUU!! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wabongo roho mbaya , acheni hizo ,ndio maana wengine mnakufa vibudu huko ,na mpaka pesa ya kurudishwa mizoga yenu huku mnachangiwa na wananzengo wa tozo nation ,acheni ujinga jifunzeni Kwa diaspora WA nchi nyingine , hizo fursa hamtazimaliza ,wapo waliokuwepo huko ughaibuni kabla yenu , toeni ramani watu waingie mzigoni .
Safi kabisa umemchana makavu fala huyoEndelea kumuabudu tu huyo uliyemtag,inaonekana na wewe ni miongoni mwa aliowachota akili kwa story zake zakufikirika za kishirikina,
Msaada haulazimishwi,wala hukuzaliwa ili iwe jukumu la mtu mwingine kukusaidia wewe,vipi kuhusu wewe umesha saidia wangapi mpaka leo?
Easy! Easy! Easy Kaka 😳😢😢😢Basi msitusumbue huku na connection ***** zenu, endeleeni kula bata tu, Nyie mnawaza kula bata sie tunawaza familia na kizazi chetu miaka 50 ijayo. Tabia zenu hizo za uselfishness kaeni nazo hukohuko.