Diaspora Hawatoi connection?

Diaspora Hawatoi connection?

Mkuu

Kwanza wabongo pale Airport wana roho mbaya, niliweka uzi hapa kuna vijana walipata Visa, Airline waliwanyima tickets na sababu wanasema eti wakienda nje hawatarudi Tanzania, hivi wao inahusiana na nini kama shirika?

Tumepiga simu KLM nchini UK na kuwapa report na wanafanya uchunguzi, sijui kama watachukua hatua. Vikwazo ni vingi sana vya kusafiri, pamoja na ugumu wa visa, mo naona visa sio ngumu kama ugumu wa kutoka nje ya TZ ,yaani Airport vikwazo. Utaombwa rushwa mpaka, au hutoki.

Mchongo wa Visa.

Kuna Visa za kazi German, UK na Canada.

Angalia YouTube jinsi ya kufanya maombi. UK wanataka watu kwa wingi kama care workers, Nurses and Doctors katima wizara ya Afya.

Pia Engineers na sasa kuna labours imewekwa kwenye list.

Wakati wa maombi watahitaji code ambayo utaweka kwenye Application, code hii kutoka kwa sponsor, pia watataka bank statements uwe na at least £1200 . Pia upass English test . Kama unataka kuomba kazi ya care , italazimika uwoneshe cheti cha mafunzo, course ya care wanatoa red cross hapo Dar es salaam, unafanya kwa 3 weeks. Cheti utaambatanisha pamoja na CV.
Utahitajika ufanye checking ya TB , wana kituo chao hapo Dar es salaam.
Application fee sijui kiasi gani.

Visa route ni 3 years to 5 years, ukipata 5 years route , unaweza kuchukua your independent (Family) Baada ya 5 years unaomba permanent residence then citizenship.

Good luck

Sijawahi kusikia mtu kakataliwa kukata ticket. Haya ni madai mapya kabisa kwangu.

Kwanini ukakate ticket airport kwanza? Ticket unaweza kata mwenyewe online airlines zipo kibao.

Hakuna mtu anakukatalia kusafiri kama una a valid visa. Otherwise watu kibao wasingesafiri. Kila siku watu wapya kabisa wanasafiri kwenye America, Ulaya na Asia bila shida yeyote so long as wana valid visa, mtu aliyegomewa kusafiri wakati ana visa ana matatizo yake.
 
Atakuwa black listed
 
Atakuwa black listed

Kabisa. Huwezi kuwa na valid visa afu mtu akugomee kusafiri, wao kama nani?

Airlines zipo kibao haiwezekani zote zigome kukubeba wewe. Kwanza nani anaenda kukata ticket airport dunia ya leo?

Airlines zina ofisi zao, ticketing agency zipo kibao, unaweza kata mwenyewe online. Huwezi enda pale na ticket na visa yako ukagomewa kusafiri.
 
Sijawahi kusikia mtu kakataliwa kukata ticket. Haya ni madai mapya kabisa kwangu.

Kwanini ukakate ticket airport kwanza? Ticket unaweza kata mwenyewe online airlines zipo kibao.

Hakuna mtu anakukatalia kusafiri kama una a valid visa. Otherwise watu kibao wasingesafiri. Kila siku watu wapya kabisa wanasafiri kwenye America, Ulaya na Asia bila shida yeyote so long as wana valid visa, mtu aliyegomewa kusafiri wakati ana visa ana matatizo yake.
Visa imekatwa kupitia shirika la KLM, walipo fika airport hawakutoa boarding pass, walitaka rushwa kwa kuwatisha vijana, walikuwa na visa halali kabisa. Trust me
 
Pole yao. Never heard that before.
 
Yawezekana uko sahihi mkuu labda sisi ndio tuna exaggerate mambo, labda connection ni nauli tu kuna diaspora tumesoma nae nilimuulizia whatsap kila kitu ananiambia nicheki website ya nchi husika sikuona hata maana ya kumtafta.
Mbona alikujubu vizuri,Sasa wewe ulitakiwa uumize kichwa sema tu Ile nature yetu ya kutopenda kuumiza kichwa. Yaani kila kitu ulipenda upewe white and black nadhani.
Hapo alipofika ameshavuka kukaa ama kuyajua unachotakiwa kufanya uingie nchi husika. Anaumiza kichwa namna ya kupata kazi ya kudumu,na pia apate uraia awe na mke wa nchi husika.
Na yeye alivyokuambia ivyo ndio right information na yeye alitumia hizo hizo information akafika nchi husika
 
Connection inayotakiwa ni wewe akija umpe hifadhi naumsaidie kutafuta kazi na apate viza ya mda mrefu aachane na mambo ya kurenuew viza kila wakati

Sasa nyie mnamwambia tu nauli mpaka Marekani ni million Tatu basi, sasa kujua bei ya nauli ni connection? Acheni uhuni bhana mna Roho mbaya tu
Kwanza Kama mwanaume haalisi sio Kama wengine wanatamani wawe wanawake. Yaani iam talking the real hustler niga aka hustler siempre huhitaji connection. You just need a desire Basi umemaliza. Jipange uchacharike ndio Mana wabongo wengi nje Ni wachache compared to others Africans
 
Mbona alikujubu vizuri,Sasa wewe ulitakiwa uumize kichwa sema tu Ile nature yetu ya kutopenda kuumiza kichwa. Yaani kila kitu ulipenda upewe white and black nadhani.
Hapo alipofika ameshavuka kukaa ama kuyajua unachotakiwa kufanya uingie nchi husika. Anaumiza kichwa namna ya kupata kazi ya kudumu,na pia apate uraia awe na mke wa nchi husika.
Na yeye alivyokuambia ivyo ndio right information na yeye alitumia hizo hizo information akafika nchi husika
Hivyo vyote nilikuwa navijua, issue ilikuwa kujua maisha halisi ya huko na namna ya kusurvive
 
Sema kwanini msingeunda group wanaotaka kwenda nje then mkapata wazoefu wakuwaongoza hii ushaur through id ambazo hujui ni nan ni shughuli
 
Sema kwanini msingeunda group wanaotaka kwenda nje then mkapata wazoefu wakuwaongoza hii ushaur through id ambazo hujui ni nan ni shughul

Sema kwanini msingeunda group wanaotaka kwenda nje then mkapata wazoefu wakuwaongoza hii ushaur through id ambazo hujui ni nan ni shughuli
Wenye uzoefu tatizo wanalinga sana hasa ambao tayari wapo nje
 
Namaanisha kuwa maisha ya ndoa huwezi subiria mpaka uambiwe yakoje ndio uoe,ingiamo na wewe utapata uzoefu wako. Uelewe usitegemee ukamilifu from either you or anyone. Kila mtu anaiona dunia with so called perceptual map.
Your biasennes, beliefs, assumptions sio universal. Mwingine anaponda huyu ke Ni mbaya hafai unamtema mie nao tunaishi naye kwa furaha y kufa mtu mpaka unamtamani Tena.
Nakumbuka hii kwa wafugaji anauza ng'ombe kisa akakonda,akaugua, baadaye anahudumiwa anapendeza mpaka anatamanisha yule aliyemuuza
 
Mkuu unajieleza sana
 
Back
Top Bottom