Diaspora mliopata uraia wa nchi za magharibi acheni kuichafua Tanzania

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
DIASPORA MLIOPATA URAIA WA NCHI ZA MAGHARIBI ACHENI KUICHAFUA TANZANIA

Anaandika Chigaitan kutoka KIVU DRC.

No, No, sisi sote ni Watanzania hatuna taifa jingine zaidi ya Tanzania, acheni kuichafua Tanzania.

Tunapaswa kuilinda kwa nguvu zote Hadhi ya Tanzania dhidi ya wahaini wanao ichafua Tanzania.

Tanzania imejengwa kwa jasho kubwa sana,na babu zetu, bibi zetu, baba zetu na mama zetu.

Hapana, hapana, isitokee watu wachache kuharibu hadhi ya Tanzania kwa maandamano ya yasio na tija kwa mkondo wa maendeleo ya taifa letu.

Taifa hili bado linamahitaji mengi, maji vijijini, elimu vijijini, umeme vijijini, mawasiliano vijijini, barabara vijijini na afya vijijini.

Tunahitaji mshikamano wa kutosha kulinda hadhi ya Taifa letu popote pale Tanania (na Duniani.)

IJUMAA August 18, 2023 kutoka 11AM (noon Eastern) to 2PM wachache wamepanga maandamano kwenda ubalozi wa Tanzania Washington, no acheni kuichafua Tanzania.

Huu ni usaliti mkubwa, uhaini na ubinafisi kwa maslahi ya mamilioni maskini vijijini Waliopo Tanzania.

Maskini wanaopitia shida za kuitegemea serikali kupeleka maendeleo vijijini.

Unaandamana for what? Kwa serikali hii inayoumiza kichwa kupeleka maendeleo vijijini.

Unaandamana kwa lipi? Kwa serikali hii inayofanya mapinduzi ya maendeleo kila pembe ya Tanzania.

Unaandamana kwa lipi? Kwa serikali inayoweka mazingira bora ya uwekezaji wa nje (yaani Foreign Direct Investment).

Mnaandamana kwa lipi?

Kwa Rais Samia kuwa 4R za mapinduzi ya uhuru wa kujieleza, haki za mikutano ya hadhara, haki za kisiasa na kila aina ya Uhuru wa kidemokrasia.

No, no, no Diaspora mliopata uraia wa nchi za Magharibi Acheni kuichafua Tanzania, acheni kabisa

Ninyi sasa siyo Watanzania. Acheni mambo ya Tanzania, acheni kuharibu image ya Tanzania.

Juzi kuna wachache wanaotafuta umarufu wa kugombea Ubunge Tanzania huko Mbeya na mwingine mhaini anatafuta umarufu baada ya kutolewa Ubalozini kwa kukiuka sheria na taratibu za hadhi za kibalozi.

Hapana, hapana, hapana mnalikosea taifa letu. Kuna maskini wanateseka kutetea taifa hili kulima vijijini, kulipa kodi za mazao, kulipa ushuru ili taifa lijitegemee wao wanalinda heshima ya nchi yao wakiwa ndani ya Taifa lao Acheni kuichafua Tanzania.

Acheni maandamano ya kuisaliti Tanzania. Ninyi siyo raia wa Tanzania. Mumeikataa Tanzania na kuchukua uraia wa kigeni hasa mataifa maadui zetu magharibi tunaojaribu kujenga uhusiano nao walau hata kiunafiki ili tusaidie maskini wetu vijijini.

Leo Tanzania ina maandeleo makubwa kile pembe serikali inajikamua kufikisha maendeleo mpaka vijijini; acheni maandamano Diaspora ninyi wacheche wahuni,wahaini na msiyo hata chembe ya aibu ya uzalendo.

Acheni tamaa zenu kuharibu taswira ya Tanzania kimataifa. Hapana, hapana Acheni kabisa.

Fanyeni hivyo ili tupate hata huruma ya kuwapa Uraia pacha. Nawezaje kukupatia uraia pacha kwa kuichafua Tanzania.

Chigaitan Mapinduzi_vijijini

0628300020/0757900020

copy and share.
 
Attachments

  • Screenshot_20230815-070203.jpg
    Screenshot_20230815-070203.jpg
    41.8 KB · Views: 5

Huu ndio ukweli.
 
Wewe ni mpumbavu kwanza huna adabu hata kwa Mali za Tanzania nyo.....koloooo wewe.
 
Ni bahati mbaya sana, hupo mahaki sahihi.

JF ilipoundwa ililenga kuwa jukwaa la watu wenye akili timamu, uelewa wa kutosha, na ukweli. Siyo jukwaa la porojo kama hizi ulizozileta. Umeandika ujinga.

Maendeleo vijijini na hata mjini hayaletwi na watu kufungwa midomo ili uporwaji wa rasilimali ufanyike kwa raha bila pingamizi.

Watanzania wenye akili timamu, wazalendo wa kweli, mahali popote walipo, kwa njia yoyote inayowezekana, ni lazima tupinge kwa nguvu zote dhidi ya mtu yeyote anayezigeuza rasilimali za nchi kama mali zake binafsi, na kuzigawa hovyo kwa anaowataka.

Rasilimali za Tanganyika ni mali ya Watanganyika. Watamkaribisha mwekezaji yeyote mwenye dhamira njema kwaajili ya ustawi wa nchi yao.

Tuukatae kwa nguvu zote mkataba wa kishenzi wa DP unaopora faida za bandari, na unaotweza utu wa Watanzania na heshima ya Taifa letu.
 
DIASPORA MLIOPATA URAIA WA NCHI ZA MAGHARIBI ACHENI KUICHAFUA TANZANIA

Anaandika Chigaitan kutoka KIVU DRC.

No, No, sisi sote ni Watanzania hatuna taifa jingine zaidi ya Tanzania, acheni kuichafua Tanzania.

Tunapaswa kuilinda kwa nguvu zote Hadhi ya Tanzania dhidi ya wahaini wanao ichafua Tanzania.

Tanzania imejengwa kwa jasho kubwa sana,na babu zetu, bibi zetu, baba zetu na mama zetu.

Hapana, hapana, isitokee watu wachache kuharibu hadhi ya Tanzania kwa maandamano ya yasio na tija kwa mkondo wa maendeleo ya taifa letu.

Taifa hili bado linamahitaji mengi, maji vijijini, elimu vijijini, umeme vijijini, mawasiliano vijijini, barabara vijijini na afya vijijini.

Tunahitaji mshikamano wa kutosha kulinda hadhi ya Taifa letu popote pale Tanania (na Duniani.)

IJUMAA August 18, 2023 kutoka 11AM (noon Eastern) to 2PM wachache wamepanga maandamano kwenda ubalozi wa Tanzania Washington, no acheni kuichafua Tanzania.

Huu ni usaliti mkubwa, uhaini na ubinafisi kwa maslahi ya mamilioni maskini vijijini Waliopo Tanzania.

Maskini wanaopitia shida za kuitegemea serikali kupeleka maendeleo vijijini.

Unaandamana for what? Kwa serikali hii inayoumiza kichwa kupeleka maendeleo vijijini.

Unaandamana kwa lipi? Kwa serikali hii inayofanya mapinduzi ya maendeleo kila pembe ya Tanzania.

Unaandamana kwa lipi? Kwa serikali inayoweka mazingira bora ya uwekezaji wa nje (yaani Foreign Direct Investment).

Mnaandamana kwa lipi?

Kwa Rais Samia kuwa 4R za mapinduzi ya uhuru wa kujieleza, haki za mikutano ya hadhara, haki za kisiasa na kila aina ya Uhuru wa kidemokrasia.

No, no, no Diaspora mliopata uraia wa nchi za Magharibi Acheni kuichafua Tanzania, acheni kabisa

Ninyi sasa siyo Watanzania. Acheni mambo ya Tanzania, acheni kuharibu image ya Tanzania.

Juzi kuna wachache wanaotafuta umarufu wa kugombea Ubunge Tanzania huko Mbeya na mwingine mhaini anatafuta umarufu baada ya kutolewa Ubalozini kwa kukiuka sheria na taratibu za hadhi za kibalozi.

Hapana, hapana, hapana mnalikosea taifa letu. Kuna maskini wanateseka kutetea taifa hili kulima vijijini, kulipa kodi za mazao, kulipa ushuru ili taifa lijitegemee wao wanalinda heshima ya nchi yao wakiwa ndani ya Taifa lao Acheni kuichafua Tanzania.

Acheni maandamano ya kuisaliti Tanzania. Ninyi siyo raia wa Tanzania. Mumeikataa Tanzania na kuchukua uraia wa kigeni hasa mataifa maadui zetu magharibi tunaojaribu kujenga uhusiano nao walau hata kiunafiki ili tusaidie maskini wetu vijijini.

Leo Tanzania ina maandeleo makubwa kile pembe serikali inajikamua kufikisha maendeleo mpaka vijijini; acheni maandamano Diaspora ninyi wacheche wahuni,wahaini na msiyo hata chembe ya aibu ya uzalendo.

Acheni tamaa zenu kuharibu taswira ya Tanzania kimataifa. Hapana, hapana Acheni kabisa.

Fanyeni hivyo ili tupate hata huruma ya kuwapa Uraia pacha. Nawezaje kukupatia uraia pacha kwa kuichafua Tanzania.

Chigaitan Mapinduzi_vijijini

0628300020/0757900020

copy and share.
"Akili ni nywele kila mtu ana zake" huu msemo nimeamin unamaana kubwa san, btw kuandamana ni kosa? Pili hujaweka sababu za wao kuandamana. NB; Maandamano na kupinga jambo lisilo na maslahi kwa Taifa haya yote ni jinai na usaliti kwa uvccm!!
 
Kuchafua kwa tafsiri ndio nini ?
 
Fanya uliyotumwa huko DR of congo,hata ulichoandika hakieleweki
 
Ila uvccm huwa mnajifanya Wapumbavu!!!
 
Back
Top Bottom