Diaspora na fursa za kiuchumi

Diaspora na fursa za kiuchumi

Zillion

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
1,378
Reaction score
1,866
Wakuu nawasalimu,

Leo nimejikuta nawaza sana fursa walizonazo watanzania waishio nje ya nchi na namna ya kutatua changamoto za ajira kwa vijana

Kwanza naomba niwaalike watanzania wanoishi nje ya nchi kutufungua mawazo na kutupa uzoefu wa fursa mbalimbali zinazopatikana maeneo wanayoishi

Fursa inaweza kuwa kwenye:
  • Kilimo
  • Elimu
  • Afya
  • Usafiri
  • Utalii
  • Michezo
  • Viwanda na biashara kadha wa kadha
Inawezekana pia umeona kitu Tanzania ambacho ni fursa nchi nyingine lakini hapa nyumbani tunakiona cha kawaida na kinyume chake pia. Nawakaribisha diaspora na vijana kubadilishana uzoefu na fursa mbalimbali zinazotuzunguka.
 
Wakuu nawasalimu,

Leo nimejikuta nawaza sana fursa walizonazo watanzania waishio nje ya nchi na namna ya kutatua changamoto za ajira kwa vijana
Kilimo cha umwagiliaji mbarali, na kunenepesha mifugo.
 
Ni jambo jema hili.. ila nahisi humu diaspora hawapo
 
Kwenye sekta ya usafiri. Tanzania inaongoza ukitizama nchi nyingine. Lakini kuna kita watanzania wangekuwa kuboresha, sekta ya ujenzi na ya ufundi. Lazima watu wafanye kazi hizo bila utapeli na kuwa muaminifu. Sasa Tanzania iko kama Morocco miaka 22 ilizopita.
 
Wakuu nawasalimu,

Leo nimejikuta nawaza sana fursa walizonazo watanzania waishio nje ya nchi na namna ya kutatua changamoto za ajira kwa vijana

Kwanza naomba niwaalike watanzania wanoishi nje ya nchi kutufungua mawazo na kutupa uzoefu wa fursa mbalimbali zinazopatikana maeneo wanayoishi

Fursa inaweza kuwa kwenye:
  • Kilimo
  • Elimu
  • Afya
  • Usafiri
  • Utalii
  • Michezo
  • Viwanda na biashara kadha wa kadha
Inawezekana pia umeona kitu Tanzania ambacho ni fursa nchi nyingine lakini hapa nyumbani tunakiona cha kawaida na kinyume chake pia. Nawakaribisha diaspora na vijana kubadilishana uzoefu na fursa mbalimbali zinazotuzunguka.
Shida ya Diaspora wengi hawapendani ni rahisi kupata dili kwa mkenya,watz tuna roho ya nyeusi kuliko watusi tubadilike
 
Back
Top Bottom