Diaspora: Nani yupo Moscow tuonane nipate kampani

Shukrani ngoja nimtafute mrembo mmoja wa kirusi hapa anipe ramani haraka iwezekanavyo.
Halafu ubalozi wa Tanzania upo hapahapa Moscow au hakuna?

Saint Petrsburg ulikuja mwaka gani ulikuja kusoma nini?
Ubalozi uko Moscow. Nilipitapita kiasi S.t. petersburg. Wanawake hapo sio wa kutafuta, wao ndio wanaokutafuta,zunguka tu.
 
Mkuu vipi baridi ya hapo Moscow, Kama umezoea pombe za ngano kwa hio baridi hazifui dafu na hazipo apo ni ma vodka,vlamid,Valeur halisi
 
Ubalozi uko Moscow. Nilipitapita kiasi S.t. petersburg. Wanawake hapo sio wa kutafuta, wao ndio wanaokutafuta,zunguka tu.
Yani jamaa kaamua kuniita nyani eti nmeingia mjini!
Ila siyo kesi kwa kuwa wanawake wa kirusi wanatukubali hiyo inathibitisha kuwa sisi siyo watu wa mchezo mchezo u unaonaje hii.
 
Mkuu vipi baridi ya hapo Moscow, Kama umezoea pombe za ngano kwa hio baridi hazifui dafu na hazipo apo ni ma vodka,vlamid,Valeur halisi
Ni kali hadi meno yanauma ipo -11°C .
Vodka natumiaga mara mojamoja sana.
 
Inabidi nitumie vodka maana ndo nilikuwa natumia angalau huko bongo japo si sana.
Yeah mkuu ila siunajua yw Huko ni pure sana ya bongo wana dalute kupunguza ukali. Imagine joto la dar halafu unywe pombe Kali sana unaweza kuwaka moto
 
Yeah mkuu ila siunajua yw Huko ni pure sana ya bongo wana dalute kupunguza ukali. Imagine joto la dar halafu unywe pombe Kali sana unaweza kuwaka moto
Hii sikujua kama bongo wana dilute huku itakuwa ni kali zaidi, ila viazi ndo nakwenda navyo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…