herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,198
- 1,369
- Thread starter
- #21
Unapenda mablanketi?naomba uniletee blanketi tu
Ok, nitakuletea blankenti la kidigital ni zuri sana hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda mablanketi?naomba uniletee blanketi tu
Save ikae kwenye rekodi zako mamaa.Ngoja nisave kabisa ili nisisahau
So hatuezi onanaUpo mbali sana,mimi nipo hapa mji wa omsk baridi balaa
Unaogopa nini sasa?Saa izi usimwamini mtuu na hiii sakasaka ya jamiiforum lazima watu tugutuke.
Unarudi lini ili nije airport nkupokee na maua mkononiSave ikae kwenye rekodi zako mamaa.
Nimependa avatar yakoNgoja nisave kabisa ili nisisahau
Ni mwakani Januari tar. 12, napenda sana maua karibu sanaUnarudi lini ili nije airport nkupokee na maua mkononi
Ubalozi uko Moscow. Nilipitapita kiasi S.t. petersburg. Wanawake hapo sio wa kutafuta, wao ndio wanaokutafuta,zunguka tu.Shukrani ngoja nimtafute mrembo mmoja wa kirusi hapa anipe ramani haraka iwezekanavyo.
Halafu ubalozi wa Tanzania upo hapahapa Moscow au hakuna?
Saint Petrsburg ulikuja mwaka gani ulikuja kusoma nini?
Abizian ni nyani kwa kirusi.Nipo Moscow, hiyo ni wapi huko Abizian town
Kha! Mkuu, nimekuwa nyau tena? Au sijakuelewa?Wewe ndio yule paka aliyekanyagwa na gari akifanya yake mitaa ya St Petersburg ?
Yani jamaa kaamua kuniita nyani eti nmeingia mjini!Ubalozi uko Moscow. Nilipitapita kiasi S.t. petersburg. Wanawake hapo sio wa kutafuta, wao ndio wanaokutafuta,zunguka tu.
Ni kali hadi meno yanauma ipo -11°C .Mkuu vipi baridi ya hapo Moscow, Kama umezoea pombe za ngano kwa hio baridi hazifui dafu na hazipo apo ni ma vodka,vlamid,Valeur halisi
Tafuta pombe kali mkuu utachangamka na baridi itapungua na utatembea swariNi kali hadi meno yanauma ipo -11°C .
Inabidi nitumie vodka maana ndo nilikuwa natumia angalau huko bongo japo si sana.Tafuta pombe kali mkuu utachangamka na baridi itapungua na utatembea swari
Yeah mkuu ila siunajua yw Huko ni pure sana ya bongo wana dalute kupunguza ukali. Imagine joto la dar halafu unywe pombe Kali sana unaweza kuwaka motoInabidi nitumie vodka maana ndo nilikuwa natumia angalau huko bongo japo si sana.
Hii sikujua kama bongo wana dilute huku itakuwa ni kali zaidi, ila viazi ndo nakwenda navyo sawaYeah mkuu ila siunajua yw Huko ni pure sana ya bongo wana dalute kupunguza ukali. Imagine joto la dar halafu unywe pombe Kali sana unaweza kuwaka moto
Sipajui ndugu we uko hapo?Unapajua MAI. Ulizia uelekezwe