Diaspora: Nani yupo Moscow tuonane nipate kampani

Yani jamaa kaamua kuniita nyani eti nmeingia mjini!
Ila siyo kesi kwa kuwa wanawake wa kirusi wanatukubali hiyo inathibitisha kuwa sisi siyo watu wa mchezo mchezo u unaonaje hii.
Ndiyo hivyo mkuu.
 
Tatizo ujaspecify upo Moscow ipi jamani mji mkubwa huo ! Be careful with alcohol nigga.
 
Naomba niulize swali samahani kama litakukera, eti diaspora walioko huko huwa wengi wanakuwa na wanarudi vichaa au wameathirika na pombe huko
 
Kuna maeneo ya khavskaya na pavloskaya wapo raia wa nyerere wengi Tu. Ila kwa hali ya hewa ya moskva jihadhari Sana na pombe na wanawake.. Mimi nipo Sweden Stockholm karibu Sana..
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
Nikolskaya.
 
Asante sana niliwahi tu kuja Gotland, huku nachukua tahadhari ya pombe nisijepatwa na matatizo ugenini.
 
Mkuu hio moscow naijua sana hata st peters naijua sana.
Nimeshawahi kwenda kwenye mji mmoja unaitwa Tula upo karibu na finland kufuata mtoto wa kirusi.
Nikakala kwenye apartment nikakutana na footbalist mmoja anaitwa bwistrov(google)
Hapo moscow ukitaka kukutana na watu weusi hadi ushangae chukua metro hadi Moscow state university.. Au nenda hadi metro inaitwa yugo zapadnaya au belyaeva.. Ukishuka nenda hadi chuo kinaitwa RUDN. (Rudeni inasomeka)
Hapo utakutana na waafrika zaidi ya elfu tano. Wa kutoka kila nchi ya afrika.
Sasa hivi kuna snow la maana sana.

Nakumbuka nilifika moscow mara ya kwanza snow ya maana weather ilikuwa negative 29
 
Hilo baridi la netive 29!!!
Hakika afya yangu mgogoro haiwezi vumilia
 
Kipindi cha Summer nenda vijijini kidogo na mwanamke wako ukale maisha. Ila unapaswa kujenga urafiki na Mrusi mmoja wa kiume awape kampani.
Au nenda Helsinki kidogo.
 
Kipindi cha Summer nenda vijijini kidogo na mwanamke wako ukale maisha. Ila unapaswa kujenga urafiki na Mrusi mmoja wa kiume awape kampani.
Au nenda Helsinki kidogo.
Mzee mbona kama unataka kumchanganyia madesa hv Helsinki na Urusi wapi na wapi mkuu,au ulikuwa unamaanisha summer akimbie Russia aingie Finland????
 
Kipindi cha Summer nenda vijijini kidogo na mwanamke wako ukale maisha. Ila unapaswa kujenga urafiki na Mrusi mmoja wa kiume awape kampani.
Au nenda Helsinki kidogo.
Mkuu kampani ya huyu wa kiume inakua na msaada gani mkiwa huko kijijini?
 
Mkuuu nakumbuka saaana Mji wa KAZAN patam sana ndan ya TATARSTAN

I WISH TUNGEONANA ILA MWAKAN NTKUWA SAMARA

KAMA UTAKUWEPO NTAKUTAFUTA
 
Nimekumbuka mbaaaaali hasaaa mji wa NOVOSIBIRSK ndan ya NOVOSIBIRSK OBLAS

Kuna masanga ni hatar kama watumiaji wa masanga bas wapo hapo,

Jamaa hiyo mitaa ya mablack wanapokwenda kuburudika utakutana na wabongo wengi tu ila wanaigeria ni wengi zaid hapo. Na wapo ambao wana marafiki wabongo na wanajua kiswahili kias naamin utawapata wabongo mkuu
 
Mzee mbona kama unataka kumchanganyia madesa hv Helsinki na Urusi wapi na wapi mkuu,au ulikuwa unamaanisha summer akimbie Russia aingie Finland????
Si ni nchi jirani, kuna huo utamaduni. Akikaa kidogo ataelewa nasema nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…