Diaspora: Nani yupo Moscow tuonane nipate kampani

Mkuu kampani ya huyu wa kiume inakua na msaada gani mkiwa huko kijijini?
Unaweza kuingia sehemu ambazo ngozi nyeusi ni ngeni na kuna makundi ya wanaume wa kule ambao wanaweza kuchukia kukuona na mwanamke wa kizungu, ukiwa na company ya mwanaume wa Kirusi, huwa inawafanya wapoe sana maana huwa kuna hali fulani ya kuheshimiana.
 
bwana mkubwa mie sikufahamu vizuri ila naomba zawadi yako hasa yule Vladimir vodka nadhani atanifaa sana
 
bwana mkubwa mie sikufahamu vizuri ila naomba zawadi yako hasa yule Vladimir vodka nadhani atanifaa sana
Huyo unapomtaja, namuona kama nini sijui. Ile pombe ni hatari aisee, no wonder Warusi huwa wanainywa na vitafunwa. Unaweza ukasepa unajiona.
 
Tupe mrejesho mkuu

Unaendeleaje huko?
vp umepata mwenyeji mswahili au bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…