Mkuu hio moscow naijua sana hata st peters naijua sana.
Nimeshawahi kwenda kwenye mji mmoja unaitwa Tula upo karibu na finland kufuata mtoto wa kirusi.
Nikakala kwenye apartment nikakutana na footbalist mmoja anaitwa bwistrov(google)
Hapo moscow ukitaka kukutana na watu weusi hadi ushangae chukua metro hadi Moscow state university.. Au nenda hadi metro inaitwa yugo zapadnaya au belyaeva.. Ukishuka nenda hadi chuo kinaitwa RUDN. (Rudeni inasomeka)
Hapo utakutana na waafrika zaidi ya elfu tano. Wa kutoka kila nchi ya afrika.
Sasa hivi kuna snow la maana sana.
Nakumbuka nilifika moscow mara ya kwanza snow ya maana weather ilikuwa negative 29