Diaspora rudini nyumbani

Diaspora rudini nyumbani

Yapo mengi yatakayo washangaza, pale mtakaporudi, maisha hayo ya utumwa mliyonayo huko, ebu rudini nyumbani, huku nyumbani kumenoga, kama ni hizo kazi za kutunza wazee na kuosha vyombo mahotelini hata huku ziko rudini.

Wale ambao mlitusaliti baada ya kuelimishwa na Taifa tena bure mkakimbilia ulaya na Amerika kusaka hali bora na mishahara minono rudini huku kumeiva, ondoeni kizazi chenu katika maisha ya kubezwa na kuitwa manyani rudini nyumbani mbona tuko vizuri tu.

Rais Magufuli ameiteitengeneza Nchi usipime, njooni muyafaidi machozinya ya Watanzania tulimlilia Mungu akatupa kiongozi makini Nchi inakwenda kasi usipime.

Your head need a brain scan
 
waache kigodo watakapoanza kuwekewa visigino shingoni ndipo wataelewa nyumbani ni nyumbani......
 
Wenye fikira kama hizo za kurudishana nyuma ndio wapo na pale uhamiaji, yaani mtanzania anawekewa vigezo vigumu kupata passport. Inshort wanadiscourage mtu masikini kupata passport ambayo ni halali yake, waache wakenya wazunguke sisi vijana wetu wabanane hapo hapo kitunda,kariakoo,mwenge, mwanjelwa nk .
Mchawi ni sisi wenyewe, nchi nyingi zinazoendelea kwa kasi wanaencourage watu wake kwenda nje kutafuta maisha kihalali ila hapa bongo ni viceversa, watu wapo ofisini kuhakikisha wenzao hawafanikiwi. Hakuna ofisi naichukua kama ofisi ya Uhamiaji Tanzania yaani Migration hasa pale Kurasini.
Ndugu UKWELI ni huu japo mchungu kuusema hapa.Ni kwamba mimi kwa huyo dogo nakula matunda yangu wala sio utegemezi.Baba yetu alifariki tukiwa wadogo na ndugu zake wakala kona na mimi kama mtoto wa kiume Mkubwa nikachukua majukumu yote ya kuwasomesha . Hongera sera za Nyerere wakaenda shule za maana za serkali enzi hizo.Watanzania wengi wamepitia Maisha kama haya.Mtu unaanza kazi na wadogo watano wanakutegemea.Sio utegemezi ndugu wacha nile matunda yangu maana nilikuwa na uwezo wa kuwakimbia.
 
Yapo mengi yatakayo washangaza, pale mtakaporudi, maisha hayo ya utumwa mliyonayo huko, ebu rudini nyumbani, huku nyumbani kumenoga, kama ni hizo kazi za kutunza wazee na kuosha vyombo mahotelini hata huku ziko rudini.

Wale ambao mlitusaliti baada ya kuelimishwa na Taifa tena bure mkakimbilia ulaya na Amerika kusaka hali bora na mishahara minono rudini huku kumeiva, ondoeni kizazi chenu katika maisha ya kubezwa na kuitwa manyani rudini nyumbani mbona tuko vizuri tu.

Rais Magufuli ameiteitengeneza Nchi usipime, njooni muyafaidi machozinya ya Watanzania tulimlilia Mungu akatupa kiongozi makini Nchi inakwenda kasi usipime.

Kwanza inaonyesha hata hujui nini maana ya neno utumwa. Sioni hizo kazi ulizotaja na kuamini kuwa sote tulio huku tunazifanya ni kazi za kitumwa. Usidanganyike na kasumba kuwa tuko huku tunatunza wazee na kuosha vyombo mahotelini. Watanzania tulio nje tunafanya kazi za fani mbali mbali inategemea na elimu na jitihada ya mtu tu.

Labda ungelianza kwa kutuandikia hayo yalioiva, tueleze ni maendeleo gani yaliopo Tanzania na ambayo kila mtanzania ananufaika nayo. Mie nilikuwepo huko mara ya mwisho July mwaka jana na sijaona cha kujivunia. Nilichoona ni kuwa mlala hoi amezidi kuwa mlala hoi na kila tajiri anazidi kutajirika, kati yao kuna viongozi ambao baada ya miezi michache tu ya kuwa madarakani wanavimba vitambi na kuanza kujinufaisha kibinafsi.

Honestly, weka list ya maendeleo unayoyaona huko.
 
Yapo mengi yatakayo washangaza, pale mtakaporudi, maisha hayo ya utumwa mliyonayo huko, ebu rudini nyumbani, huku nyumbani kumenoga, kama ni hizo kazi za kutunza wazee na kuosha vyombo mahotelini hata huku ziko rudini.

Wale ambao mlitusaliti baada ya kuelimishwa na Taifa tena bure mkakimbilia ulaya na Amerika kusaka hali bora na mishahara minono rudini huku kumeiva, ondoeni kizazi chenu katika maisha ya kubezwa na kuitwa manyani rudini nyumbani mbona tuko vizuri tu.

Rais Magufuli ameiteitengeneza Nchi usipime, njooni muyafaidi machozinya ya Watanzania tulimlilia Mungu akatupa kiongozi makini Nchi inakwenda kasi usipime.

Wewe mwenyewe una kazi? Au unasubiri buku saba za Lumumba au kuwa informer!!
 
Mleta mada pole sana kwa yaliyokukuta,nadhani umeamua kumsema mtu mmoja tu kwa kuanzisha hii thd,acha kutegemea watu tafuta vyako ama sivyo kila siku utakua unaanzisha thd humu ya kuponda jamii fulani,mara utaanza kuponda wajomba,mashemeji,makaka.....
 
Yani waache kubeba box waje hapa tz kujiunga na praise team?
Yaani wewe unataka waendelee kuramba masufuria??Hata wa Israeli walipoondolewa Misri na Musa walipofika jangwani wapo ambao walitamani kurudi Misri wakikumbuka masufuria ya nyama bila ya kujali kwamba walikuwa watumwa
 
Roho inakuuma sana hao jamaa wanavyobeba box hadi unataka warudi tz wajiunge na praise team?
 
Akili za kimaskini sana hizi. Kama kumenoga si wapeni kazi hao maelfu ya vijana wanahangaika bila kazi?

endeleeni kusifia huku ndugu zenu wengi wanaumia
Binadamu akiwa na hali mbaya na hana options huishia kukata tamaa. Akikata tamaa akili nazo hudumaa mwisho wa siku hukosa hata namna ya kutafakari mambo. Ndio akili za mleta mada.
 
Bongo kuna NHIF unapata matibabu bure bila chenga na wengi tumewasaidia wazazi kupata matibabu huku tukiwa hatuwawazi.shida ninyi mkifariki na sisi tena tuwafikirie mnakujaje huku,Rudini mkiwa hai tu
 
Kwani wakifa si wanaweza kuzikwa uko uko ?Bora wazikwe uko maana uko makaburi yapaliliwa na kujengewa . Uku kwetu unatupwa tu
 
Kwamba waje wapande ndege na kwenda kupiga picha kwenye daraja la mfugale au? Kuna watu mnajua kutia watu hasira tena kwa lazima
 
Yapo mengi yatakayo washangaza, pale mtakaporudi, maisha hayo ya utumwa mliyonayo huko, ebu rudini nyumbani, huku nyumbani kumenoga, kama ni hizo kazi za kutunza wazee na kuosha vyombo mahotelini hata huku ziko rudini.

Wale ambao mlitusaliti baada ya kuelimishwa na Taifa tena bure mkakimbilia ulaya na Amerika kusaka hali bora na mishahara minono rudini huku kumeiva, ondoeni kizazi chenu katika maisha ya kubezwa na kuitwa manyani rudini nyumbani mbona tuko vizuri tu.

Rais Magufuli ameiteitengeneza Nchi usipime, njooni muyafaidi machozinya ya Watanzania tulimlilia Mungu akatupa kiongozi makini Nchi inakwenda kasi usipime.
Ccm inawaogopa diaspora thus inaiogopa uraia pacha, kumbuka diaspora awapitiwi na Moshi wa mwenge kupumbaza akili zao.
 
Yapo mengi yatakayo washangaza, pale mtakaporudi, maisha hayo ya utumwa mliyonayo huko, ebu rudini nyumbani, huku nyumbani kumenoga, kama ni hizo kazi za kutunza wazee na kuosha vyombo mahotelini hata huku ziko rudini.

Wale ambao mlitusaliti baada ya kuelimishwa na Taifa tena bure mkakimbilia ulaya na Amerika kusaka hali bora na mishahara minono rudini huku kumeiva, ondoeni kizazi chenu katika maisha ya kubezwa na kuitwa manyani rudini nyumbani mbona tuko vizuri tu.

Rais Magufuli ameiteitengeneza Nchi usipime, njooni muyafaidi machozinya ya Watanzania tulimlilia Mungu akatupa kiongozi makini Nchi inakwenda kasi usipime.
Hujui kama siasa za ugali watu wanazijua huwa wanapenda majanga ili chama/mtu/cheo/kada fulani ipendwe kuliko wengine...

Baada ya watumishi hewa kuondolewa na wanajua kazi za utumishi wa umma sijui wanatuandalia makao gani huko tukistaafu.... Ulikuwa ujanja kucheza na kuwatengenezea dharau kwa jamii.

Kazi hiyo ya kukubali maagizo ya mitego kwa kwenda mbele sijui itaisha lini!? Wengine tunaangalia tu bora sekta ya UONGO iendelee kutafuta ZILIPENDWA

http://kilosadc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/346750078-Public-Service-Halmashauri.pdf
 
Mtoa mada wewe mchawi.Sisi mdogo wetu yuko kwa bibi na anasomesha watoto watano sekondary kwenye ukoo wetu watoto wawili ni wa kwangu na mtu akifa kwenye ukoo rambirambi anatoa yeye .Mimi ndo mkubwa na nina madogo mengine Dar na Arusha laki yule wa ulaya ni msaada mkubwa kwetu.Mwaka jana kaniletea iPhone 8 alisema sio mpya lakini uku ni kama mpya....Wewe wacha UJINGA
Hata dada wa kazi wengi walioenda Uarabuni wamekuwa msaada Mkubwa sana wa kuzibadilisha Hali za maisha ya familia zao,sema tu serikali imeaminishwa uongo Hadi kuwanyima watu fursa za kwenda nje kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom