Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

View attachment 337329 View attachment 337331 View attachment 337328 View attachment 337329 hapa Ubalozini (Washington DC) hatupati ushirikiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo nn Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.

UPDATE:
Tumeanza kumtanguliza Miss Tanzania USA aje aangalie fursa ya sisi kuja kuwekeza nyumbani. Mpeni Ushirikiano.
Uko USA halafu unataka kufanya kazi ubalozi wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom