carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Toeni ujinga wenu hapa.Hatukubali upuuzi wenu tena,Watanzania wanaoishi nchini Ujerumani wameandamana nje ya Ubalozi wa Tanzania nchini humo, wakisema maandamano hayo ni sehemu ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu yalipotokea maandamano nchini Tanzania yaliyosababisha vifo na majeruhi wengi
Katika hatua nyingine, waandamanaji hao wamesema wameamua kufanya maandamano hayo wakidai kuwa hali nchini Tanzania si shwari. Wametaka kuwepo kwa mfumo huru, wakieleza kuwa wananchi wanaishi katika mazingira magumu na viongozi hawashughulikii ipasavyo masuala yanayowahusu wananchi.
Soma pia Watanzania Diaspora kuandaa mkesha wa mshumaa kuwakumbuka waathirika wa ghasia za uchaguzi 2025
Wewe na Samia wote waceenge tu.Toeni ujinga wenu hapa.Hatukubali upuuzi wenu tena,
Mbona wapo 5 pamoja na wazungu.. seriously..!!Safi sana
Safi kabisa. Waendelee kuandamana huko huko.Watanzania wanaoishi nchini Ujerumani wameandamana nje ya Ubalozi wa Tanzania nchini humo, wakisema maandamano hayo ni sehemu ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu yalipotokea maandamano nchini Tanzania yaliyosababisha vifo na majeruhi wengi
Katika hatua nyingine, waandamanaji hao wamesema wameamua kufanya maandamano hayo wakidai kuwa hali nchini Tanzania si shwari. Wametaka kuwepo kwa mfumo huru, wakieleza kuwa wananchi wanaishi katika mazingira magumu na viongozi hawashughulikii ipasavyo masuala yanayowahusu wananchi.
Soma pia Watanzania Diaspora kuandaa mkesha wa mshumaa kuwakumbuka waathirika wa ghasia za uchaguzi 2025
Sasa unalia nini?Mbona wapo 5 pamoja na wazungu.. seriously..!!
Nashangaa mlivyokosa support ya watz...hadi mnaazima wazunguSasa unalia nini?
Sio kweli we chokoo la kitangaWapiga debe hao
Dah! Inamaana Watanzania Ujerumani hawafiki kumi? Au wengi wao wame ignore ujinga?Watanzania wanaoishi nchini Ujerumani wameandamana nje ya Ubalozi wa Tanzania nchini humo, wakisema maandamano hayo ni sehemu ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu yalipotokea maandamano nchini Tanzania yaliyosababisha vifo na majeruhi wengi
Katika hatua nyingine, waandamanaji hao wamesema wameamua kufanya maandamano hayo wakidai kuwa hali nchini Tanzania si shwari. Wametaka kuwepo kwa mfumo huru, wakieleza kuwa wananchi wanaishi katika mazingira magumu na viongozi hawashughulikii ipasavyo masuala yanayowahusu wananchi.
Soma pia Watanzania Diaspora kuandaa mkesha wa mshumaa kuwakumbuka waathirika wa ghasia za uchaguzi 2025
James delicious tuliaSio kweli we chokoo la kitanga
Halafu wanaonekana wote ni choka mbaya.Nadhani wengi wao walichukuliwa na wazungu kama wafanyakazi wa ndani.Mbona wapo 5 pamoja na wazungu.. seriously..!!
Wamechoka sana ..we mwangalie hata huyo nuruvuzi ..ndo machokoraa wa ulaya haoHalafu wanaonekana wote ni choka mbaya.Nadhani wengi wao walichukuliwa na wazungu kama wafanyakazi wa ndani.
Mpuuzi ni aliyeuawa au aliyeuaToeni ujinga wenu hapa.Hatukubali upuuzi wenu tena,