Diaspora Vijana Watanzania wamlilia Rais Samia uraia pacha

Diaspora Vijana Watanzania wamlilia Rais Samia uraia pacha

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869

Vijana wa kiTanzania walilia uraia pacha kutokana na changamoto wazipatazo huku wao wakiwa wamwzaliwa mfano raia wa Marekani ya Kaskazini na Ulaya wakati wazazi wao, bibi, babu, shangazi ni waTanzania lakini sheria za uraia za Tanzania haziwatambui na hivyo kupata wakati ngumu katika mambo mbalimbali wawapo nyumbani kwa wazee wao.

Katika mahojiano hata exclusive na GADI TV diaspora aeleza jinsi ambayo serikali inaweza kulibeba jambo hili na likawa la manufaa siyo kwa diaspora tu ya kiTanzania bali hata nchi yao ya asili wenye mizizi nayo ya Tanzania.

Source: GADI TV

However, through jurisprudential developments by way of case law, the High Court (Dr Fauz Twaib, J.), in the case of Emmanuel Marangakis as Attorney of Anastasios Anagnostou vs The Administrator General, Civil Case No. 1 of 2011 (Marangakis case), in a welcome decision, ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance. The Court in this case interpreted that what was prohibited by the Land Act was direct grant or allocation of land to non-citizens and not ownership by way of inheritance.
The Bill is expected to be tabled for second reading in the first quarter of 2020 and if passed and assented to, non-citizens will expressly be prohibited from owning land by way of inheritance in Tanzania. The Administrator and Executor will only have to realize the landed property and distribute the proceeds thereto to the non-citizen heirs. Individuals who have devised property to heirs who are non-citizens may need to revisit their Wills.
Furthermore, the Bill proposes to amend other thirteen laws, namely the Civil Procedure Code, Cap 33, the Criminal Procedure Act, Cap 20, the Dairy Industry Act, Cap 262, the Executive Agencies Act, Cap 245, the Fisheries Act, Cap 279, the Government Proceedings Act, Cap 5, the Law of the Child Act, Cap 13, the Local Government (Urban Authorities) Authorities Act, Cap 288, Local Government (District Authorities) Authorities Act, Cap 287, the Meat Industry Act, Cap 421, the Penal Code, Cap 16, the Tanganyika Law Society Act, Cap 307 and the Trustees’ Incorporation Act, Cap 318.
The proposed amendments intend to keep updated the respective laws with changes so far observed in their implementation.
To read the Bill click here.
To read the Marangakis case click here.
Article compiled by LEX Africa’s Tanzanian member firm FB Attorneys

Tanzania: Bill tabled to prohibit non-citizens from owning land through inheritance

In Local Investment Laws and Indigenisation, Property Law and Real Estate, Tanzania

On 14 November 2019, the Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill 2019, Act No 8 of 2019 which proposed to amend several laws including the Probate and Administration of Estates Act, Cap. 352 was tabled in Parliament for first reading.

The amendment to the Probate and Administration of Estates Act now proposes to impose a restriction on Administrators and Executors in distributing the estate of the deceased which is in the form of landed property to heirs who are non-citizen. If the Bill goes through, the non-citizen heirs will be allowed to benefit from the proceeds realised from the disposition of the said landed property after the Administrator or Executor disposes off the property.

The laws of Tanzania through the provisions of section 20 of the Land Act prohibit foreigners to acquire land unless it is for investment purposes under the Tanzania Investment Act. The said Act makes it clear that a non-citizen can only acquire land if it is for investment purposes and that investment must be under the Tanzania Investment Centre. Otherwise non-citizens are not allowed to hold land in Tanzania.

Source: Tanzania: Bill tabled to prohibit non-citizens from owning land through inheritance | LEX Africa
 
Bora hawa wana madai na hoja ya msingi sana. Nina imani raisi atayafanyia kazi haya wanayohitaji. Sio wale wanaomtumia yule jamaa mnuka mdomo amtishe raisi wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kumtisha mkuu wa nchi ni sawa na kujaribu kukata tofali na wembe.
 
Katiba Mpya inayodaiwa lazima ijipanue na kuongeza suala la uraia pacha kwa waTanzania diaspora wenye unasaba / asili na Tanzania ili kuwatambua waweze kushiriki katika ujenzi wa uchumi bila kificho au njia zisizo eleweka kisheria.

Kwa sasa suala hili la katiba mpya limewekwa pembeni, basi ikimpendeza rais ambaye kwa sasa kikatiba mwenye madaraka makubwa (rais-mfalme) kufuatana na katiba iliyopo atoe decree kuwatambua waTanzania hawa wakati malumbano ya ulazima wa Katiba mpya au ya zamani iwekwe viraka unaendelea kupamba moto na haujulikani lini mchakato wa kipya au viraka utaanza kuchungulikia katiba.
17 Jun 2015 — Nyerere spoke of his imperial presidency, where the executive, under the one party system, was virtually above all source Consolidating Democracy in Tanzania: Presidential Powers under the Proposed Constitution
 
Vijana wa kiTanzania walilia uraia pacha kutokana na changamoto wazipatazo huku wao wakiwa wamwzaliwa mfano raia wa Marekani ya Kaskazini na Ulaya wakati wazazi wao, bibi, babu, shangazi ni waTanzania lakini sheria za uraia za Tanzania haziwatambui na hivyo kupata wakati ngumu katika mambo mbalimbali wawapo nyumbani kwa wazee wao.

Katika mahojiano hata exclusive na GADI TV diaspora aeleza jinsi ambayo serikali inaweza kulibeba jambo hili na likawa la manufaa siyo kwa diaspora tu ya kiTanzania bali hata nchi yao ya asili wenye mizizi nayo ya Tanzania.

Source: GADI TV

Tanzania: Bill tabled to prohibit non-citizens from owning land through inheritance

In Local Investment Laws and Indigenisation, Property Law and Real Estate, Tanzania

On 14 November 2019, the Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill 2019, Act No 8 of 2019 which proposed to amend several laws including the Probate and Administration of Estates Act, Cap. 352 was tabled in Parliament for first reading.

The amendment to the Probate and Administration of Estates Act now proposes to impose a restriction on Administrators and Executors in distributing the estate of the deceased which is in the form of landed property to heirs who are non-citizen. If the Bill goes through, the non-citizen heirs will be allowed to benefit from the proceeds realised from the disposition of the said landed property after the Administrator or Executor disposes off the property.

The laws of Tanzania through the provisions of section 20 of the Land Act prohibit foreigners to acquire land unless it is for investment purposes under the Tanzania Investment Act. The said Act makes it clear that a non-citizen can only acquire land if it is for investment purposes and that investment must be under the Tanzania Investment Centre. Otherwise non-citizens are not allowed to hold land in Tanzania.

Source: Tanzania: Bill tabled to prohibit non-citizens from owning land through inheritance | LEX Africa

Diaspora ni wahaini..
Hatutaki uraia pacha..
Kama wanataka utanzania, waje tuhenye wote.
 
Diaspora ni wahaini..
Hatutaki uraia pacha..
Kama wanataka utanzania, waje tuhenye wote.

Tafakuri ya kina :

Askofu Mpemba - Mambo matatu yaliyojificha sana kuhusu suala la Uraia pacha

Chuki (hate), kujiona duni (inferior) , wivu (jealousy) hawazungumzi jambo moja kwa moja, sababu ni hii hapa niliyoisema na kupelekea siku za nyuma kusuasua katika maamuzi suala la uraia pacha.

N.B askofu wetu, zama Mpya za matumaini, sasa ni awamu mpya tutegemee mazuri hivi karibuni :
Ila sasa kuna uongozi mpya na mtizamo tofauti hivyo tutegemee mazuri kuhusu uraia pacha.
 
Bora hawa wana madai na hoja ya msingi sana. Nina imani raisi atayafanyia kazi haya wanayohitaji. Sio wale wanaomtumia yule jamaa mnuka mdomo amtishe raisi wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kumtisha mkuu wa nchi ni sawa na kujaribu kukata tofali na wembe.
Mpigeni risasi kama Lissu, ila mjitaidi zisizidi risasi tatu, Samia anssema atawanyima teuzi.
 
Idara ya Uhamiaji : Uraia na Utaifa wafafanuliwa kwa kina kufuatana na katiba pia sheria zilizopo Tanzania

URAIA WA TANZANIA
Masuala ya uraia nchini Tanzania yanasimamiwa na Sheria ya Uraia ya Tanzania ya mwaka 1995 Sura 357 kama ilivyorejewa mwaka 2002, pamoja na kanuni zake za mwaka 1997. Sheria hii imeanisha aina tatu za uraia wa Tanzania ambazo ni;
1. Uraia wa Tanzania kwa kuzaliwa
2. Uraia wa Tanzania kwa kurithi
3. Uraia wa Tanzania kwa Tajnisi, au kujiandikisha.

Uraia wa Tanzania wa kuzaliwa:
Utambuzi wa nani ni raia wa Tanzania unazingatia vipindi mbalimbali vya historia ya Tanzania, yaani kabla na baada ya uhuru wa Tanganyika, kabla na baada ya Mapinduzi ya Zanzibar na baada ya Muungano wa Tanzania. Pia, mahali alipozaliwa na alizaliwa na nani kama inavyoainishwa hapa chini:
Aliyezaliwa Tanganyika kabla ya Uhuru

Mtu aliyezaliwa Tanganyika kabla ya Uhuru alitambulika kuwa ni raia wa Tanganyika wa kuzaliwa, ikiwa mmoja wa wazazi wake alizaliwa Tanganyika na anatokana na Raia wa Uingereza, makoloni yake au nchi zilizokuwa chini ya udhamini wa Uingereza
Aliyezaliwa Tanganyika baada ya Uhuru

Mtu aliyezaliwa Tanganyika baada ya Uhuru alitambulika kuwa ni raia wa Tanganyika wa kuzaliwa, ikiwa mmoja wa wazazi wake alikuwa raia wa Tanganyika.
Aliyezaliwa Zanzibar kabla na Baada ya Mapinduzi

Mtu aliyezaliwa Zanzibar kabla na baada ya Mapinduzi alitambulika kuwa ni raia wa Zanzibar wa kuzaliwa.
Ila, mtu huyo hakutambulika kuwa ni raia wa zanzibar ikiwa wazazi wake walitokana na mataifa yafuatayo; Australia, Ubeligiji, Kanada, Ceylon (Sri Lanka), Ufaransa, Italia, New Zealand, Ureno, Jamhuri ya Ireland, Afrika Kusini na Marekani.

Aliyezaliwa Tanzania siku na baada ya Muungano wa Tanzania
Mtu aliyezaliwa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku na baada ya Muungano, atatambulika kuwa ni raia wa Tanzania wa kuzaliwa ikiwa mmoja wa wazazi wake ni raia wa Tanzania.

Source : Uhamiaji Tanzania

ASIYE RAIA WA TANZANIA NI NANI?

Maswali mengi yanaulizwa kuhusu uraia, hasa wakati huu ambapo zoezi la kuwabaini wageni wanaoishi nchini kinyume cha sheria linaendelea katika maeneo mbalimbali nchini, yakitaka kujua nani hasa ni raia wa Tanzania.

Kimsingi, masuala ya uraia duniani kote yanaongozwa na falsafa kuu mbili ambazo ni Haki za Kidamu (Jus Sanguinis - The rights of blood), ambapo mtu hupata uraia kutokana na uhusiano wa kidamu na wazazi wenye uraia wa nchi husika. Hii ina maana kwamba, pamoja na mtu kuzaliwa katika nchi husika anatakiwa pia kuwa na mzazi ambaye ni raia wa nchi hiyo. Falsafa hii ndiyo inayofuatwa na nchi ya Tanzania.

Kwa maana nyingine kuzaliwa pekee nchini Tanzania hakumpi mtu haki ya moja kwa moja ya kuwa raia wa Tanzania, bali mtu atakuwa raia ikiwa amezaliwa Tanzania na wakati wa kuzaliwa kwake mzazi wake mmoja sharti awe ni raia wa Tanzania.

Falsafa nyingine ni (Jus Soli - The right of Soil), ambayo mtu hupata Uraia kutokana na kuzaliwa kwake katika ardhi ya nchi fulani. Kufuatana na Falsafa hii, mtu hupata uraia kutokana na kuzaliwa katika nchi husika bila kujali uraia wa wazazi wake
 
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia na ndio hicho nilikuwa nataka na kutafuta
Haya mkuu endelea kumpa Mbowe akili yako atembee nayo mfukoni. Wengi wetu tunatafuta riziki kwa kupitia akili zetu sio akili za watu.
 
Bora hawa wana madai na hoja ya msingi sana. Nina imani raisi atayafanyia kazi haya wanayohitaji. Sio wale wanaomtumia yule jamaa mnuka mdomo amtishe raisi wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kumtisha mkuu wa nchi ni sawa na kujaribu kukata tofali na wembe.
Hilo litatuliwa kwa katiba mpya
 
Kama mtu anaona uraia wa Marekani ni mtamu awe rais wa Marekani asituhangaishe sisi.
 
Hata akina Zuma, Idd Amin, Bokassa na wengine walikuwa. Chawa mna kawaida wa kuwaita binadamu wenye kuwalisha eti, "mh mungu".... Mmejaa kufuru.
Bora hawa wana madai na hoja ya msingi sana. Nina imani raisi atayafanyia kazi haya wanayohitaji. Sio wale wanaomtumia yule jamaa mnuka mdomo amtishe raisi wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kumtisha mkuu wa nchi ni sawa na kujaribu kukata tofali na wembe.
 
Hata akina Zuma, Idd Amin, Bokassa na wengine walikuwa. Chawa mna kawaida wa kuwaita binadamu wenye kuwalisha eti, "mh mungu".... Mmejaa kufuru.
Mkuu toka mama aingie hakuna mtu aliekutwa amekufa ndan ya kiloba kama mlivyokuwa mnadai kwenye utawala uliopita, hakuna mtu alietekwa, aliebambikiwa kesi wala kupigwa risasi. Sasa kulikuwa na haraka gani au ulazima gani wa jamaa kuongea maneno kama yale kwa raisi ambae amekubali kusimamia sheria kwa kumteua mwanasheria mkuu mpya wa serikali ili aje asimamie sheria na kuhakikisha case zote ambazo hazina umuhimu zifutwe, na bila shaka jamaa amepenya katika njia hiyo hadi kufikia kuachiwa kitu ambacho huko nyuma kabla ya mama ilikuwa ni ndoto kwake kuachiwa kutokana na aina ya case aliyokuwa amekamatwa nayo. Waswahili wanasema "Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni" jamaa hakutakiwa kuanza kumu attack mama unless kama angeona yale aliyoyaacha huku nje wakati anakamatwa yanaendelea kama vile kutekwa, kuteswa, kuuwawa, kupigwa risasi nk.
 
Back
Top Bottom