Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhaini alipaswa awe behind bars choko baridi yuleBora hawa wana madai na hoja ya msingi sana. Nina imani raisi atayafanyia kazi haya wanayohitaji. Sio wale wanaomtumia yule jamaa mnuka mdomo amtishe raisi wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Kumtisha mkuu wa nchi ni sawa na kujaribu kukata tofali na wembe.
Kawaida yetu - Tukose wote.Kama wanadhani tunafaidi basi wakane huo uraia wao bora waje tujiunge kwenye hili libeneke.
Hivi kwa nini topic kama hizi wanaoishi Tanzania huwa wanaongeaga kwa uchungu sana kuwaona waliopata uraia I wengine Kama wasaliti vile??
Mkuu toka mama aingie hakuna mtu aliekutwa amekufa ndan ya kiloba kama mlivyokuwa mnadai kwenye utawala uliopita, hakuna mtu alietekwa, aliebambikiwa kesi wala kupigwa risasi. Sasa kulikuwa na haraka gani au ulazima gani wa jamaa kuongea maneno kama yale kwa raisi ambae amekubali kusimamia sheria kwa kumteua mwanasheria mkuu mpya wa serikali ili aje asimamie sheria na kuhakikisha case zote ambazo hazina umuhimu zifutwe, na bila shaka jamaa amepenya katika njia hiyo hadi kufikia kuachiwa kitu ambacho huko nyuma kabla ya mama ilikuwa ni ndoto kwake kuachiwa kutokana na aina ya case aliyokuwa amekamatwa nayo. Waswahili wanasema "Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni" jamaa hakutakiwa kuanza kumu attack mama unless kama angeona yale aliyoyaacha huku nje wakati anakamatwa yanaendelea kama vile kutekwa, kuteswa, kuuwawa, kupigwa risasi nk.
Hata Watanzania hawamiliki ardhi, serikali ndiyo inamiliki ardhi na siyo serikali bali ni Rais. Huu ni ujinga tuliokubali Watanzania. Ardhi ambayo mababu zetu walikuwa wanarithishana kwa karne na karne zilizopita, serikali ndiyo iliwapora Watanzania na ndiyo inamiliki sasa.... wamiliki ardhi? Labda kwa utaratibu kama wanavyomiliki wageni wengine ila sio kumiliki kama watanzania! Ni heri hata wawe rais (if it were possible) kuliko kumilikishwa ardhi kama watanzania. Ardhi ndio alfa na omega linapokuja suala la urithi Chief; ardhi yetu ndio sisi; utanzania wetu ni kwa sababu ya ardhi yetu mama Tanzania. Chezea vingine vyote sio ardhi yetu!
Hata Watanzania hawamiliki ardhi, serikali ndiyo inamiliki ardhi na siyo serikali bali ni Rais. Huu ni ujinga tuliokubali Watanzania. Ardhi ambayo mababu zetu walikuwa wanarithishana kwa karne na karne zilizopita, serikali ndiyo iliwapora Watanzania na ndiyo inamiliki sasa.
Ni kawivu flani hivi watanzania wengi wanadhani jamaa wanafaidi sanaHivi kwa nini topic kama hizi wanaoishi Tanzania huwa wanaongeaga kwa uchungu sana kuwaona waliopata uraia kwengine Kama wasaliti vile??
Hata Watanzania hawamiliki ardhi, serikali ndiyo inamiliki ardhi na siyo serikali bali ni Rais. Huu ni ujinga tuliokubali Watanzania. Ardhi ambayo mababu zetu walikuwa wanarithishana kwa karne na karne zilizopita, serikali ndiyo iliwapora Watanzania na ndiyo inamiliki sasa.
kushiriki katika ujenzi wa uchumi bila kificho au njia zisizo eleweka kisheria.
Wewe Kijichi ushafika?hawajasema wanataka kujenga uchumi.
wamesema wanataka kumiliki mali za Tanzania
Sasa kwa nini tumpe mtu ashikilie kiwanja Mbweni baharini sisi tubananishwe uswekeni Kijichi kwa Mfuga Mbwa wakati eneo zuri limeshikiliwa na Mmarekani anaishi Sheffield, Uingereza ????
Over our dead bodies.
Tunapinga na kulaani.
Kitambo toka Kijichi ikiwa ni pori miaka kama 20 iliyopitaWewe Kijichi ushafika?
Kijichi Kwa Mfuga Mbwa?Kitambo toka Kijichi ikiwa ni pori miaka kama 20 iliyopita
Kwani unakuona ni mbali sana au ?
Nilikuwa nina Coaster zinaanzia Tandika sokoni kwenda Kijichi, kwa nini nisifike Kijichi ?
Ndio, kama mita 200 kutoka shule ya Miande, kuna familia ilifuga mbwa na kupachikwa jina hilo na wenyeji. Lakini si kitongoji rasmi, na huenda historia hizi zikaenda zikisahaulika kama palivyo sehemu kama Makuti kwa Bi Nyau, sasa hivi paka hakuna na bibi alishakufa, na wakazi wengi wa Magomeni ya leo usikute hata hawapajui.Kijichi Kwa Mfuga Mbwa?
Ndio, kama mita 200 kutoka shule ya Miande, kuna familia ilifuga mbwa na kupachikwa jina hilo na wenyeji. Lakini si kitongoji rasmi, na huenda historia hizi zikaenda zikisahaulika kama palivyo sehemu kama Makuti kwa Bi Nyau, sasa hivi paka hakuna na bibi alishakufa, na wakazi wengi wa Magomeni ya leo usikute hata hawapajui.
Tukirudi kwenye mada, kwa nini unauliza?
Hoja yangu haikueleweka nilipojieleza Kijiographia kuonyesha mbanano wa raia kwenye maeneo kama haya ?
Mkuu, ikitokea huyo mmiliki wa kiwanja cha ufukweni Mbweni anaishi Manyoni Singida au Nzega Tabora, huku akiwa amewaacha wengine mmebanana huko "kwa mfuga mbwa" inakua ni sahihi ?hawajasema wanataka kujenga uchumi.
wamesema wanataka kumiliki mali za Tanzania
Sasa kwa nini tumpe mtu ashikilie kiwanja Mbweni baharini sisi tubananishwe uswekeni Kijichi kwa Mfuga Mbwa wakati eneo zuri limeshikiliwa na Mmarekani sijui Mwingereza anaishi Sheffield, Uingereza ????
Over our dead bodies.
Tunapinga na kulaani.
Mkuu, inamaana nchi zote zilizoruhusu uraia pacha zinapitia changamoto za kiusalama ?Usalama wa nchi kwanza kwa hili Mimi siungi mkono hata kidogo