Diaspora Vijana Watanzania wamlilia Rais Samia uraia pacha


Hata kama bado nusu haijatumika, kwa hiyo tuwagawie Wachina waje kuishi ?
Tuwape diaspora ambao hawakai Tanzania ?

Tunapinga na kulaani.

Watu wanaongezeka, ardhi is finite, hatutagawa bure kwa walioondoka nchini.

Tuna masuala kibao ya kitaifa ya kutatua, we have a full plate of pressing priorities, the last thing we are thinking about is Uraia pacha wa diaspora . Eti ili tuwape ardhi ambayo hawaihitaji kwa sababu hawapo hapa in the first place. Tumerogwa?
 
Roho yako ni ya chuki na hoja yako ni nyembamba sana. Kuondoka kwenda nje kutafuta maisha hakuwezi kuwa ni sawa na kutenda dhambi.

Marekani, South Africa, Nigeria ni nchi zenye kutajirika kutegemea muingiliano wa watu wa aina tofauti.

Punguza fikra mgando zenye kuamini kwamba mtanzania anayeishi nje kapungukiwa upendo kwa taifa lake.

Mafisadi wa EPA na wezi wa mishahara hewa ni wazalendo wa humu humu nchini.

Wapigaji waliojaa halmashauri na serikalini ni wazalendo wa humu humu nchini.

Punguza fikra za kibaguzi zilizojaa chuki.
 

Huyo aliyeporwa jengo angejitambua hata hilo jengo lisingebaki limesimama. Na wewe unayesema watumishi wakafanyie kazi kwenye majengo yenye migogoro wakati wewe unajifisha nyuma ya keyboard inaelekea hata huwajali hao watumishi.
 
Kwa nini usisema wanachadema wanataka uraia pachaa??? Haiwezekaniiiii ata siku mojaaaa.
 
Kwa nini usisema wanachadema wanataka uraia pachaa??? Haiwezekaniiiii ata siku mojaaaa.

Uraia pacha ni suala la Katiba ya nchi kulitambua na hili la katiba ya nchi halina u-chama wa CCM au CUF ni suala la utaifa yaani kutambua utaifa wa diaspora ya kiTanzania popote ulipo.
 
Uraia pacha ni suala la Katiba ya nchi kulitambua na hili la katiba ya nchi halina u-chama wa CCM au CUF ni suala la utaifa yaani kutambua utaifa wa diaspora ya kiTanzania popote ulipo.
Iliwanaufipa mlete fujo huku halafu mnatafuta pakukimbilia eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…