Diaspora wa Kenya wafanya makubwa Marekani. Sisi Diaspora Wetu wanafanya nini cha kuonekana huko walipo?

Diaspora wa Kenya wafanya makubwa Marekani. Sisi Diaspora Wetu wanafanya nini cha kuonekana huko walipo?

Mkuu mayalla(njaa) km tafsiri ya Marehemu jiwe,
Hiyo biashara haipevuki tu bila madeni,kampuni zipo bila kelele unaingiza pesa.
Kwenda kuintroduce kampuni hapa nilipo unatakiwa ulipe mil 500 kwanza za bima.
Sasa kwa mtaji gani utoe hiyo pesa na baadae uendeshe biashara.
Hao wanaandika tu mitandaoni nenda kesho ukale pale km hutalishwa samaki wa juzi mi nipo hapa.
 
Akili kubwa za Watanzania zipo kukesha makanisani na kusubiri kupokea miujiza ambayo italeta fursa.
Hawa wenye akili hizi ni the destitutes, wale masikini wa kutupwa wanaishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, ni watu wa kuhurumiwa.
Wengi wapo busy kuibia serikali na kuwekeza katika kujenga vijumba vya kupangisha hawana akili za ufanisi kama za Wakenya ama Waganda.
Hiki ndicho ninachouliza, kuna vitu vya kuonekanika Wakenya na Waganda wanafanya, sisi tunashindwa nini?, niko hapa DC, chakula cha kibongo na nyama choma ni resturant ya Mkenya!
wenzetu mmoja mmoja mtu mweusi ni matajiri sana tofauti na sisi huku ambao akina GSM na MO ndio matajiri.
Kwenye mabilionea top ten kwatop ten bilioneas a wa Tanzania, tulikuwa na wazalendo wawili, Mengi na Mufuruki, sijui sasa tuna nani?. Ni aibu kwa top ten bilioneas wetu wote wawe ni weupe!.
Uraia pacha unafaida sana
Ni kweli, mchakato unaendelea
ila CCM kwa kuminya haki za binadamu wanaongoza.
Sio kweli!. Sio CCM bali ...
P
 
Mkuu mayalla(njaa) km tafsiri ya Marehemu jiwe,
Hiyo biashara haipevuki tu bila madeni,kampuni zipo bila kelele unaingiza pesa.
Kwenda kuintroduce kampuni hapa nilipo unatakiwa ulipe mil 500 kwanza za bima.
Sasa kwa mtaji gani utoe hiyo pesa na baadae uendeshe biashara.
Hao wanaandika tu mitandaoni nenda kesho ukale pale km hutalishwa samaki wa juzi mi nipo hapa.
Nimekula hapa, jamaa ana import sato wa Mwanza na mbuzi wa Dodoma!, the food so tasty!.
P
 
Tatizo ni lile lile ubinafsi.
Mtanzania aliyeko ng'ambo anawaza akirudi TZ aje kulingishia wenzake,lakini sio kuwainua kwa fursa zilizo huko lakini pia Watanzania wenyewe kuwafanya figusu Diaspora kiasi ya kukimbia wasirudi nyumbani kuwekeza.
 
Back
Top Bottom