Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #81
Ni kweli, niko huku nimeshuhudia.Akili za kimaskini hizi za kudharau kazi, hao unaowaita waosha wazee wana mishahara mikubwa kuliko mawaziri wa bongo na quality ya life yao ni ya juu kuliko 99% ya wabongo back home
Hawa wenye akili hizi ni the destitutes, wale masikini wa kutupwa wanaishi kwenye lindi la umasikini uliotopea, ni watu wa kuhurumiwa.Akili kubwa za Watanzania zipo kukesha makanisani na kusubiri kupokea miujiza ambayo italeta fursa.
Hiki ndicho ninachouliza, kuna vitu vya kuonekanika Wakenya na Waganda wanafanya, sisi tunashindwa nini?, niko hapa DC, chakula cha kibongo na nyama choma ni resturant ya Mkenya!Wengi wapo busy kuibia serikali na kuwekeza katika kujenga vijumba vya kupangisha hawana akili za ufanisi kama za Wakenya ama Waganda.
Kwenye mabilionea top ten kwatop ten bilioneas a wa Tanzania, tulikuwa na wazalendo wawili, Mengi na Mufuruki, sijui sasa tuna nani?. Ni aibu kwa top ten bilioneas wetu wote wawe ni weupe!.wenzetu mmoja mmoja mtu mweusi ni matajiri sana tofauti na sisi huku ambao akina GSM na MO ndio matajiri.
Ni kweli, mchakato unaendeleaUraia pacha unafaida sana
Sio kweli!. Sio CCM bali ...ila CCM kwa kuminya haki za binadamu wanaongoza.
Ukimalizika rudi hapa tutaongwa.Mchakato wa uraia pacha unaendelea na soon utakamilika.
P
Nimekula hapa, jamaa ana import sato wa Mwanza na mbuzi wa Dodoma!, the food so tasty!.Mkuu mayalla(njaa) km tafsiri ya Marehemu jiwe,
Hiyo biashara haipevuki tu bila madeni,kampuni zipo bila kelele unaingiza pesa.
Kwenda kuintroduce kampuni hapa nilipo unatakiwa ulipe mil 500 kwanza za bima.
Sasa kwa mtaji gani utoe hiyo pesa na baadae uendeshe biashara.
Hao wanaandika tu mitandaoni nenda kesho ukale pale km hutalishwa samaki wa juzi mi nipo hapa.